SARUFI
How to register and join MyElimu CLICK HERE

Post Reply 
 
Thread Rating:
 • 1 Votes - 1 Average
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4
 • 5
SARUFI
MyElimu Offline
System
*******

Posts: 247
Likes Given: 7
Likes Received: 111 in 73 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 1
Friend:  Add as Friend

Points: 3,931.20 points
Country: Tanzania
Post: #1
Post Icon SARUFI

0
0
Sarufi ni sheria, kanuni au taratibu zinazopaswa kufuatwa katika lugha fulani. Kila lugha huwa na kanuni zake. Katika sarufi tutazingatia sauti(utamkaji), aina ya maneno, upatanisho wa maneno kisarufi, muundo wa sentensi za Kiswahili na kadhalika.Ufuatao ni mukhtasari wa baadhi ya yale tuliyokuandalia katika matumizi ya lugha. Fungua kila ukrasa ili kusoma mada kwa kina.Vipashio vya LughaVipashio vya lugha ni viungo mbalimbali vinavyowekwa pamoja katika mpangilio fulani kisarufi, kuunda lugha:
 1. Sauti
 2. Mofimu
 3. Neno
 4. Sentensi

Kwa kuzingatia vipashio hivi vya lugha, tumekuandalia vipengele vifuatavyo katika sarufi:Aina za Maneno
 • Nomino - majina, aina za nomino, uundaji wa nomino kutoka kwa maneno mengine, wingi
 • Vitenzi - vitendo katika sentensi, aina za vitenzi, mnyambuliko wa vitenzi
 • Viwakilishi - maneno yanayowakilisha nomino; aina za viwakilishi
 • Vivumishi - aina za vivumishi k.v vivumishi vya sifa, n.k
 • Vielezi - vielezi halisi, vielezi vya namna n.k
 • Viunganishi - a-unganifu, kuonyesha tofauti, sababu, sehemu n.k
 • Vihisishi - maneno ya kuonyesha hisia k.v hasira, mshangao n.k
 • Vihusishi - uhusiano wa nomino na mazingira yake
 • Kinyume - kinyume cha maneno mbalimbali
Muundo wa Maneno
 • Sauti na Silabi - aina za sauti(konsonanti, vokali), silabi, matamshi
 • Shadda na Kiimbo - mkazo katika maneno, kiimbo(intonation)
 • Viambishi - maana na aina za viambishi, uainishaji
 • Mofimu - mofimo huru, mofimu tegemezi
 • Viungo - Matumizi ya viungo k.v KWA, KU, JI, MA, NI, NA n.k
Upatanisho wa Maneno
 • Ngeli - ngeli mbalimbali za Kiswahili k.v A-WA, KI-VI n.k
 • Umoja na Wingi - wingi/umoja wa nomino, sentensi n.k
 • Ukubwa na Udogo - onyesha ukubwa/udogo wa neno au sentensi
 • Nyakati na Hali - nyakati(uliopita, uliopo, ujao, n.k), NGE, NGALI,
 • Kukanusha - kukanusha sentensi katika hali na nyakati mbalimbali
Sentensi
(This post was last modified: 02-21-2014 11:30 AM by MyElimu.)
02-21-2014 11:23 AM
Visit this user's website Find all posts by this user Like Post Quote this message in a reply
Elisha King Kalulumila Offline
Regular User
Registered

Posts: 1
Likes Given: 0
Likes Received: 0 in 0 posts
Joined: Jun 2015
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 0.00 points
Post: #2
RE: SARUFI

0
0
naomba topics zote za kiswahili kwa Advance level mwaka huu
12-18-2015 03:03 PM
Find all posts by this user Like Post Quote this message in a reply
Post Reply 


You may also like these discussions:
Thread: Author Replies: Views: Last Post
  Sarufi vivarce 0 212 02-03-2018 03:29 PM
Last Post: vivarceUser(s) browsing this thread: 1 Guest(s)