Madoido Katika Fasihi
How to register and join MyElimu CLICK HERE

Post Reply 
 
Thread Rating:
  • 0 Votes - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Madoido Katika Fasihi
MwlMaeda Offline
Teacher
Teacher

Posts: 41
Likes Given: 1
Likes Received: 3 in 3 posts
Joined: Feb 2017
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 3,446.38 points
Country: Tanzania
Post: #1
Madoido Katika Fasihi

0
0
Madoido ni vionjo mbalimbali vinavyopatikana katika kazi za fasihi simulizi. Kwa mfano kuipamba sauti, upigaji wa ala za musiki kama vile ngoma, gitaa, matarumbeta n.k na uchezeshaji wa viungo vyote vya mwili. Hivyo katika fasihi andishi si rahisi kusikia na hata kuona kutokana na uhifadhi wake.

?UMUHIMU WA KILA KIPENGELE CHA MADOIDO KAMA IFUATAVYO;
?Madoido ya sauti umuhimu wake
Fanani huvuta hisia kwa hadhira wakati anapowasilisha kazi yake.
Kuipamba lugha iwe na mvuto.
?Madoido ya upigaji wa ala za muziki umuhimu wake
-Inaburudisha hadhira
-Uvuta hisia ya hadhira kwa mfano milindimo ya vinanda, zumali n.k ?Madoido ya uchezeshaji wa viungo vyote vya mwili umuhimu wake
-Inateka umakini wa hadhira na kuipenda kazi ya fasihi simulizi
- InaburudishaKaribu: http://www.mwalimuwakiswahili.com
06-07-2017 10:57 PM
Visit this user's website Find all posts by this user Like Post Quote this message in a reply
Post Reply 


You may also like these discussions:
Thread: Author Replies: Views: Last Post
  Uhifadhi Wa Kazi Za Fasihi Simulizi MyElimu 0 987 12-04-2017 02:32 PM
Last Post: MyElimu
  Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Simulizi MyElimu 0 562 12-04-2017 02:27 PM
Last Post: MyElimu
  Matumizi Ya Lugha Katika Miktadha Mablimbali MyElimu 0 1,005 12-04-2017 02:24 PM
Last Post: MyElimu
Post Icon Fasihi Kwa Ujumla MyElimu 0 1,666 09-14-2017 01:19 PM
Last Post: MyElimu
  Kunani Katika Maisha Yangu Na Baada Ya Miaka Hamsini MwlMaeda 0 339 06-11-2017 05:54 PM
Last Post: MwlMaeda
Post Icon Nyimbo Katika Fasihi Simulizi MwlMaeda 0 864 06-09-2017 12:23 PM
Last Post: MwlMaeda
Post Icon Udhibiti Wa Kazi Za Fasihi Kwa Ufupi MwlMaeda 0 694 06-08-2017 07:09 PM
Last Post: MwlMaeda
Post Icon Sifa Pambanuzi Za Kifani Za Utendi Andishi Wa Kiswahili Zinavyojitokeza Katika Utenzi MwlMaeda 2 886 06-07-2017 01:38 PM
Last Post: MwlMaeda
Post Icon Matumizi Ya Lugha Katika Miktadha Mbalimbali. Damian 3 1,598 05-23-2017 02:16 PM
Last Post: kemmyqlyon
Lightbulb Tanzu na Vipera Vya Fasihi Simulizi Given 1 27,978 12-21-2015 11:07 AM
Last Post: SUSAN MACHARIAUser(s) browsing this thread: 1 Guest(s)