Kwanini Kiswahili Kilisambaa zaidi Tanzania kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki?
How to register and join MyElimu CLICK HERE

Post Reply 
 
Thread Rating:
  • 0 Votes - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Kwanini Kiswahili Kilisambaa zaidi Tanzania kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki?
MyElimu Offline
System
*******

Posts: 247
Likes Given: 7
Likes Received: 111 in 73 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 1
Friend:  Add as Friend

Points: 3,931.20 points
Country: Tanzania
Post: #1
Question Kwanini Kiswahili Kilisambaa zaidi Tanzania kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki?

0
0
Baada ya uhuru mwaka 1961, lugha ya Kiswahili ilisambaa na kukua zaidi nchini Tanzania kuliko sehemu nyingine Afrika Mashariki. Je, ni sababu zipi zilizopelekea hili?
02-23-2014 03:59 PM
Visit this user's website Find all posts by this user Like Post Quote this message in a reply
Musa Offline
Gold Student
Gold
Accelerators

Posts: 22
Likes Given: 2
Likes Received: 4 in 4 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 153.45 points
Post: #2
RE: Kwanini Kiswahili Kilisambaa zaidi Tanzania kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki?

0
0
Kwa Kenya, kulikuwa na ukabila sana. Watu wa kule hasa wa lugha za Kikuyu na Kijaluo walipenda sana kuongea lugha zao kuliko kiswahili. Waliona kuongea kiswahili ni kijushusha hadhi. Kwa Uganda sina uhakika sana.
02-23-2014 04:10 PM
Find all posts by this user Like Post Quote this message in a reply
khaleed masoudz Offline
Regular User
Registered

Posts: 2
Likes Given: 0
Likes Received: 0 in 0 posts
Joined: Oct 2014
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 0.00 points
Post: #3
RE: Kwanini Kiswahili Kilisambaa zaidi Tanzania kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki?

0
0
 naomba msaada wa uhakiki wa fungate ya Uhuru
01-30-2015 01:24 PM
Find all posts by this user Like Post Quote this message in a reply
ZAGALO EMANUEL Offline
Regular User
Registered

Posts: 9
Likes Given: 0
Likes Received: 3 in 2 posts
Joined: Jan 2015
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 7.00 points
Post: #4
RE: Kwanini Kiswahili Kilisambaa zaidi Tanzania kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki?

0
0
 SABABU ZA KISWAHILI KUENEA TZ
1.Kilitumika kama lugha ya taifa
2.kenya na uganda kulikuwa na ukabila (tribalism)
3.kulianzishwa vyombo vya kukuza lugha ya kiswahili mf.TUKI ,TUMI,TAKILUKI N.K
4. Vyombo vya habari vilitumia kiswahili
5.kilitumika katika shuhughuli za kiserikali mf.bunge
01-30-2015 06:47 PM
Visit this user's website Find all posts by this user Like Post Quote this message in a reply
MyElimu Offline
System
*******

Posts: 247
Likes Given: 7
Likes Received: 111 in 73 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 1
Friend:  Add as Friend

Points: 3,931.20 points
Country: Tanzania
Post: #5
Post Icon RE: Kwanini Kiswahili Kilisambaa zaidi Tanzania kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki?

0
0
(02-23-2014 04:10 PM)Musa Wrote:  Kwa Kenya, kulikuwa na ukabila sana. Watu wa kule hasa wa lugha za Kikuyu na Kijaluo walipenda sana kuongea lugha zao kuliko kiswahili. Waliona kuongea kiswahili ni kijushusha hadhi. Kwa Uganda sina uhakika sana.

Pia, unaweza kusoma kuhusu historia na asili ya Kiswahili hapa http://www.myelimu.com/thread-Historia-Ya-Kiswahili-Na-Asili-Yake

02-07-2015 05:04 AM
Visit this user's website Find all posts by this user Like Post Quote this message in a reply
williada Offline
Regular User
Registered

Posts: 9
Likes Given: 0
Likes Received: 2 in 1 posts
Joined: May 2014
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 0.00 points
Post: #6
RE: Kwanini Kiswahili Kilisambaa zaidi Tanzania kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki?

0
0
- ukabila, katika nchi nyingine za afrika mashariki mfano uganda makabila kama baganda na nkole walidhani kuwa wakitumia lugha ya kiswahili lugha zao za kikabila zitapotea, hivyo hivyo hata nchini kenya makabila kama kikuyu nayo yalichangia.

-uwepo wa misitu yenye wanyama kwa mfano simba kwenye misitu ya Tsavo nchini kenya kulifanya kiswahili kutoenea kwani misafara ya wafanyabiashara ambao walikuwa wanaeneza kiswahili walihofia wanyama hao.

-kiswahili kudhaniwa kuwa ni lugha ya kitumwa na kiislamu mfano waganda wengi walikichukia kiswahili kwa kuwa kilitumiwa na waarabu ambapo waliamini kuwa kiswahili kiliimarisha uislamu

-hoja nyingine ni kama ifuatavyo;

_kupingwa na watawala
_kiswahili kuchukuliwa kama lugha duni dhidi ya kiingereza.

(This post was last modified: 06-11-2015 09:43 AM by williada.)
06-11-2015 09:42 AM
Find all posts by this user Like Post Quote this message in a reply
Post Reply 

You may also like these discussions:
Thread: Author Replies: Views: Last Post
  Kiswahili For Beginners christine 0 33 03-14-2018 03:18 PM
Last Post: christine
Post Icon Maswali Ya Kiswahili 1 Form 5 MyElimu 2 9,525 02-18-2018 10:43 PM
Last Post: Elia Madete
  Umuhimu Wa Lugha Ya Kiswahili Sunday 0 3,326 09-21-2017 12:32 PM
Last Post: Sunday
  Kiswahili NAFTARI KAFUMU 0 409 09-14-2017 05:59 PM
Last Post: NAFTARI KAFUMU
Post Icon Methali Za Kiswahili MyElimu 26 485,587 09-07-2017 07:45 PM
Last Post: bensonrng
  Kiswahili john richard 0 365 08-12-2017 06:07 PM
Last Post: john richard
  Check Out "mwalimu Wa Kiswahili" MwlMaeda 0 683 07-27-2017 06:02 AM
Last Post: MwlMaeda
  Misemo,nahau Na Methali Za Kiswahili MwlMaeda 1 3,247 07-20-2017 08:24 PM
Last Post: utouh
Smile Kiswahili abuusalma 2 1,016 06-07-2017 10:35 PM
Last Post: MwlMaeda
Post Icon Sifa Pambanuzi Za Kifani Za Utendi Andishi Wa Kiswahili Zinavyojitokeza Katika Utenzi MwlMaeda 2 1,068 06-07-2017 01:38 PM
Last Post: MwlMaedaUser(s) browsing this thread: 1 Guest(s)