0
KISWAHILI:
African Leadership Academy ni shule maalum ya kutengeneza viongozi wa baadae wa Africa. Academy yake ipo South Africa na kila mwaka huwa inapokea wanafuzi waliomaliza Form 4 na kwenda kufanya A-Level yao kule SA. Ukichaguliwa kwenda, utaweza pia kupata nafasi ya kulipiwa ada yote ya miaka miwili utakayokuwa kule na ukirudi kutoka kule hakika utakuwa wa tofauti katika jamii kwa jinsi uwezo wako wa kufikiri ulivyopanuka.
Na sasa ALA wameanza kupokea maombi kwa ajili ya mwaka 2015! ALA inatafuta vjana wa tofauti, wenye mawazo ya kipekee na wenye kutaka kuleta maendeleo. Wanatafuta vijana wenye miaka kati ya 16-19 wenye uwezo wa kipekee wa kuongoza na kuwa na tija katika jamii kwa kupitia ujasiri, ubunifu na mchango wao katika jamii.
Wanafunzi watakaochaguliwa kujiunga na ALA watapata faida zifuatazo:
⋆ Kuishi kwenye boarding yenye hadhi ya kimataifa iliyopo Honeydew, Johannesburg;
⋆ Watamaliza mtaala wa miaka miwili ambapo watafundishwa Entrepreneurial Leadership & African Studies;
⋆ Mtaala wa unaotambulika dunia nzima wa A-Level;
⋆ Watakutana na wanafunzi wengine wa kipekee kutoka sehemu mbalimbali za Africa na dunia nzima;
⋆ Watapewa muongozo wa kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali;
⋆ Nafasi ya kufanya interniship ('tempo) na nafasi za kazi sehemu mbalimbali za Africa;
⋆ Msaada wa kifedha kwa wanafunzi watakaouhitaji.
ALA ina njia 6 za kuchagua wanafunzi wake:-
⋆ Uwezi wa kuongoza ⋆ Mapenzi kwa Africa ⋆ Utayari kwa kutumika
⋆ Roho ya ujasiliamali ⋆ Uwezo wa darasani ⋆Miaka: 16-19
Kama una hata vigezo viwili hapo juu nakushauri ufanye application. Huwezi jua!
Wanaotaka kuapply wanashauriwa kutembelea website yao kwa habari zaidi: www.africanleadershipacademy.org/
Deadline ni 12 December, 2014.
Kama unataka maelezo zaidi andika reply chini
Students enrolled at the Academy will have access to the following:
⋆ World-class co-educational boarding school in Honeydew, Johannesburg;
⋆ They will complete our core curriculum in Entrepreneurial Leadership & African Studies;
⋆ Internationally recognised A-level curriculum;
⋆ Outstanding students and faculty from across Africa & the world;
⋆ Unparalleled track record in University placements;
⋆ Access to world-class internship and job opportunities on the continent;
⋆ and financial assistance is available for students with financial need.
African Leadership Academy has 6 selection criteria:
⋆ Leadership potential ⋆ Passion for Africa ⋆ Commitment to service
⋆ Entrepreneurial spirit ⋆ Academic achievement ⋆ age: 16-19
Applicants are encouraged to visit our website to learn more about our offerings: www.africanleadershipacademy.org/
The deadline for admission is 12 December, 2014.

ENGLISH
Admissions application window for 2014-15 is officially open. ALA is looking for the most outstanding young leaders from across Africa to enrol in our 2 year program. We are looking for young people aged 16 to 19 with the potential to lead and make an impact through their courage, initiative and innovation. Students enrolled at the Academy will have access to the following: