MyElimu
Majazi - Printable Version

+- MyElimu (https://myelimu.com)
+-- Forum: GENERAL STUDENTS DISCUSSIONS (https://myelimu.com/forum-general-students-discussions)
+--- Forum: KISWAHILI (https://myelimu.com/forum-kiswahili)
+--- Thread: Majazi (/thread-majazi)

Majazi - MwlMaeda - 06-14-2017

Majazi ni mbinu ya mhusika kuwa na jina lake rasmi (jina la kuzaliwa) linaloambatana na tabia/mienendo/sifa zake. Aidha, majazi inaweza kuwa mbinu ya sanaa.

Mhusika Bahati katika riwaya; ikiwa maisha yake yatadhihirisha kuwa na bahati nyingi; basi hiyo itakuwa ni mbinu ya Majazi.
Mzee Tumbo Kubwa anapenda kula sana kana kwamba hashibi.
Neema ni msichana mzuri, mpole, mpenda amani
Mganga Kuzimu ni mganda hodari sana anayeongoza ibada za gizani katika kijiji cha Mizukani

RE: Majazi - francissmtambo - 06-16-2017

Mwalimu hapa chini sijaelewa (mganga kuzimu ni mganda) Neno mganda Lina maana gani??

Sent from my Phantom6-Plus using MyElimu mobile app

(06-14-2017, 05:53 PM)MwlMaeda Wrote: Majazi ni mbinu ya mhusika kuwa na jina lake rasmi (jina la kuzaliwa) linaloambatana na tabia/mienendo/sifa zake. Aidha, majazi inaweza kuwa mbinu ya sanaa.

Mhusika Bahati katika riwaya; ikiwa maisha yake yatadhihirisha kuwa na bahati nyingi; basi hiyo itakuwa ni mbinu ya Majazi.
Mzee Tumbo Kubwa anapenda kula sana kana kwamba hashibi.
Neema ni msichana mzuri, mpole, mpenda amani
Mganga Kuzimu ni mganga hodari sana anayeongoza ibada za gizani katika kijiji cha Mizukani
Neno mganda Lina maana gani??

RE: Majazi - MwlMaeda - 06-18-2017

francissmtambo;1573 Wrote:Mwalimu hapa chini sijaelewa (mganga kuzimu ni mganda) Neno mganda Lina maana gani??

Sent from my Phantom6-Plus using MyElimu mobile app

(06-14-2017, 05:53 PM)MwlMaeda Wrote: Majazi ni mbinu ya mhusika kuwa na jina lake rasmi (jina la kuzaliwa) linaloambatana na tabia/mienendo/sifa zake. Aidha, majazi inaweza kuwa mbinu ya sanaa.

Mhusika Bahati katika riwaya; ikiwa maisha yake yatadhihirisha kuwa na bahati nyingi; basi hiyo itakuwa ni mbinu ya Majazi.
Mzee Tumbo Kubwa anapenda kula sana kana kwamba hashibi.
Neema ni msichana mzuri, mpole, mpenda amani
Mganga Kuzimu ni mganga hodari sana anayeongoza ibada za gizani katika kijiji cha Mizukani
Neno mganda Lina maana gani??

Sent from my Phantom6-Plus using MyElimu mobile app

Nimerekebisha neno mganda ni mganga