How to register and join MyElimu CLICK HERE

User(s) browsing this room: 2 Guest(s)
Post Discussion
KISWAHILI
Discussion / Author Replies Views Rating Last Post [asc]
Room Announcements
  How to register and join MyElimu - - 01-27-2017 02:23 PM
  JINSI YA KUTUMIA MyElimu - - 01-24-2014 10:24 AM
Normal Threads
New posts. Hot discussion. Post Icon
MwlMaeda - (06-07-2017 at 02:40 PM)
Melodrama/tanzia-ramsa/futuhi/komedia (comedy/kichekesho):
MELODRAMA
Katika zama za urasimi, aina hii ilitumiwa kuelezea aina ya drama au tamthiliya iliyokuwa na matumizi mengi ya uimbaji au nyimbo (melos). K...
Musa - (06-07-2017 at 03:08 PM)
Melodrama/tanzia-ramsa/futuhi/komedia (comedy/kichekesho):
Asante sana aisee. Unatusaidia sana....
1 907
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-07-2017 03:08 PM
Last Post: Musa
New posts. Hot discussion. Post Icon
MwlMaeda - (06-07-2017 at 02:30 PM)
Tahakiki Tamthiliya Ya Kilio Chetu Kidato Cha 3&4:
JINA LA TAMTHILIYA: Kilio Chetu
WAANDISHI: MEDICAL AID FOUNDATION
MCHAPISHAJI: TANZANIA PUBLISHING HOUSE (TPH) MWAKA 1995

...
MwlMaeda - (06-07-2017 at 02:30 PM)
Tahakiki Tamthiliya Ya Kilio Chetu Kidato Cha 3&4:
JINA LA TAMTHILIYA: Kilio Chetu
WAANDISHI: MEDICAL AID FOUNDATION
MCHAPISHAJI: TANZANIA PUBLISHING HOUSE (TPH) MWAKA 1995

...
0 426
 • 1 Vote(s) - 5 out of 5 in Average
06-07-2017 02:30 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion. Post Icon
MwlMaeda - (06-07-2017 at 02:16 PM)
Ufahamu Na Ufupisho (zoezi):
Soma kifungu cha habari kifuatacho kisha jibu maswali yanayofuata

Niliendelea mbele kidogo, nikasema, nikatazama kul...
MwlMaeda - (06-07-2017 at 02:16 PM)
Ufahamu Na Ufupisho (zoezi):
Soma kifungu cha habari kifuatacho kisha jibu maswali yanayofuata

Niliendelea mbele kidogo, nikasema, nikatazama kul...
0 356
 • 1 Vote(s) - 5 out of 5 in Average
06-07-2017 02:16 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion. Post Icon
MwlMaeda - (06-07-2017 at 01:58 PM)
Tabia Na Sifa Za Lugha:
Tabia ya Lugha

Zifuatazo ndizo tabia zinazojitokeza kwa kila lugha; tabia ambazo zinaihalalisha
lugha yo yote kuwa lugha na si vinginevyo.
(i) ...
MwlMaeda - (06-07-2017 at 01:58 PM)
Tabia Na Sifa Za Lugha:
Tabia ya Lugha

Zifuatazo ndizo tabia zinazojitokeza kwa kila lugha; tabia ambazo zinaihalalisha
lugha yo yote kuwa lugha na si vinginevyo.
(i) ...
0 476
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-07-2017 01:58 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion. Post Icon
MwlMaeda - (06-07-2017 at 01:14 PM)
Sifa Pambanuzi Za Kifani Za Utendi Andishi Wa Kiswahili Zinavyojitokeza Katika Utenzi:
[Image: FB_IMG_1492103076614.jpg]

 ...
MwlMaeda - (06-07-2017 at 01:38 PM)
Sifa Pambanuzi Za Kifani Za Utendi Andishi Wa Kiswahili Zinavyojitokeza Katika Utenzi:
(06-07-2017 01:34 PM)Catherina Wrote:  Nashukuru sana Mwalimu Maeda! Asante! Natumai utaendelea kutusaidia hapa

Nashukuru tupo pamoja sana


  ...
2 871
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-07-2017 01:38 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion. Wink
Damian - (05-31-2017 at 07:25 PM)
Methali:
Nini maana ya methali
 

I need answer guys. ...
Damian - (05-31-2017 at 07:25 PM)
Methali:
Nini maana ya methali
 

I need answer guys. ...
0 766
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
05-31-2017 07:25 PM
Last Post: Damian
New posts. Hot discussion. Post Icon
Damian - (04-22-2017 at 09:29 PM)
Matumizi Ya Lugha Katika Miktadha Mbalimbali.:
Nini maana ya rejesta...
kemmyqlyon - (05-23-2017 at 02:16 PM)
Matumizi Ya Lugha Katika Miktadha Mbalimbali.:
(04-22-2017 09:29 PM)Damian Wrote:  Nini maana ya rejesta

ni matumizi ya lugha katika sehemu maalumu mfano rejesta ya hotelini ....
3 1,582
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
05-23-2017 02:16 PM
Last Post: kemmyqlyon
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (10-31-2016 at 11:19 AM)
Uchambuzi Wa Takadini:
UCHAMBUZI  WA  FASIHI  SIMULIZITAKADINIFANI
MWANDISHI: BEN J. HANSON
WACHAPISHAJI...
MyElimu - (10-31-2016 at 11:19 AM)
Uchambuzi Wa Takadini:
UCHAMBUZI  WA  FASIHI  SIMULIZITAKADINIFANI
MWANDISHI: BEN J. HANSON
WACHAPISHAJI...
0 1,189
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
10-31-2016 11:19 AM
Last Post: MyElimu
New posts. Hot discussion.  
Frank Barasoni - (08-13-2016 at 07:13 PM)
Msaada Tafadhali Kuhusu Lahaja (a - Level ):
Naomba kujuzwa kuhusu LAHAJA

Sent from my SM-T231 using MyElimu mobile app...
masha - (10-20-2016 at 10:42 AM)
Msaada Tafadhali Kuhusu Lahaja (a - Level ):
Lahaja ni lugha tofauti tofauti ambazo zinatokana na lugha moja kuu. Watumiaji wa lugha fulani wanapopishana kimsamiati au kimuundo au kimatamshi au v...
2 889
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
10-20-2016 10:42 AM
Last Post: masha
New posts. Hot discussion.  
Mufty Bawesy - (08-12-2016 at 07:50 AM)
Vinyume:
Je, kuna vinyume vya viumbe...
kiyungu Samson - (10-07-2016 at 10:04 PM)
Vinyume:
Viumbe gan?

Sent from my TECNO-W3 using MyElimu mobile app...
1 990
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
10-07-2016 10:04 PM
Last Post: kiyungu Samson
New posts. Hot discussion. Post Icon
Pilipilihoho - (04-18-2016 at 10:44 AM)
Methali Za Kiswahili Na Tafsiri Zake:

[*]Adhabu ya kaburi aijua maiti, The  touture of the grave is only known by the corpse
[*]Akiba haiozi, A reserve will not decay
[...
zulaiphatboka - (10-01-2016 at 12:11 PM)
Methali Za Kiswahili Na Tafsiri Zake:
methali 1

Sent from my TECNO M5 using MyElimu mobile app...
1 2,177
 • 1 Vote(s) - 1 out of 5 in Average
10-01-2016 12:11 PM
Last Post: zulaiphatboka
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (03-23-2015 at 09:31 AM)
Maswali Ya Kiswahili 1 Form 6:
SEHEMU A: UFAHAMU NA UFUPISHO
 
1. Jibu maswali yote kutoka sehemu hii.
 
Baadhi ya wananchi wakaanza kuamini kwamba huo ndio ulikuwa mti...
Guest - (08-19-2016 at 08:51 PM)
Maswali Ya Kiswahili 1 Form 6:
lula 171/158...
1 7,917
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
08-19-2016 08:51 PM
Last Post: Guest
New posts. Hot discussion.  
Mbuchi Mjungu - (08-04-2016 at 10:21 PM)
Tafsiri Na Ukalimani:
 MISINGI YA TAFSIRI NA UKALIMANI
Tafsiri ni nini?
-Newmark (1982) Tafsiri ni jaribio la kuwasilisha ujumbe uleule ulioandikwa katika lugha moja kwa...
Mbuchi Mjungu - (08-04-2016 at 10:21 PM)
Tafsiri Na Ukalimani:
 MISINGI YA TAFSIRI NA UKALIMANI
Tafsiri ni nini?
-Newmark (1982) Tafsiri ni jaribio la kuwasilisha ujumbe uleule ulioandikwa katika lugha moja kwa...
0 3,646
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
08-04-2016 10:21 PM
Last Post: Mbuchi Mjungu
New posts. Hot discussion.  
Mbagala - (10-21-2014 at 08:44 PM)
Msaada Kuhusu Hii Misamiati:
Wana Kiswahili


nina shida ya
kutofautisha maneno haya BAINISHA na AINISHA.


Mfano: Bainisha na ainisha maneno yafuatayo
1. Anakikimbia
2.A...
Kessy Khali El Magnefico - (06-28-2016 at 10:14 AM)
Msaada Kuhusu Hii Misamiati:
 Ainisha ni kitenzi kinachotokana na nomino 'aina' chenye maana ya kuorodhesha aina ya kitu wakati bainisha ni kitenzi pia chenye maana ya kuonesha a...
2 4,333
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-28-2016 10:14 AM
Last Post: Kessy Khali El Magnefico
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (02-26-2014 at 09:49 AM)
Fonolojia Ya Kiswahili:
Neno fonolojia linatokana na maneno mawili ya Kigiriki phone-sauti za kusemwa na logos- taaluma/mtalaa. Masimulizi yanadai kuwa taaluma hii ilianza za...
francissmtambo - (06-28-2016 at 08:42 AM)
Fonolojia Ya Kiswahili:
(02-28-2014 11:01 AM)Given Wrote:   @andrew unaweza kuchangia kwa kuchagua somo kisha unabonyeza 'new topic' juu kulia.
Nzuri ni...
3 10,835
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-28-2016 08:42 AM
Last Post: francissmtambo
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (07-22-2015 at 11:02 AM)
Jaribio La Kiswahili:
 
1. Fanya maswali yote 4
 
2. Kila swali alama 25
 
 
 
[list=1]
[*]Kwa nini  Waingereza waliunda kamati ya lugha ya Kisw...
francissmtambo - (06-26-2016 at 12:40 PM)
Jaribio La Kiswahili:
Kwasababu kiswahili kilikua ndio rahisi kuliko kingereza

Sent from my TECNO-C5 using [URL=http://r.tapatalk.com/byo?rid=88006]MyElimu mobile app[/URL...
2 3,253
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-26-2016 12:40 PM
Last Post: francissmtambo
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (05-15-2016 at 12:10 AM)
Mofimu Na Kazi Za Mofimu:
 Mofimu, ni kipashio kidogo kabisa cha kiisimu ambacho kina maana ya kisarufi au ya kileksika (kikamusi)Mofimu ni kipashio kidogo kuliko neno(MOFIMU,...
MyElimu - (05-15-2016 at 12:10 AM)
Mofimu Na Kazi Za Mofimu:
 Mofimu, ni kipashio kidogo kabisa cha kiisimu ambacho kina maana ya kisarufi au ya kileksika (kikamusi)Mofimu ni kipashio kidogo kuliko neno(MOFIMU,...
0 3,410
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
05-15-2016 12:10 AM
Last Post: MyElimu
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (02-07-2015 at 04:46 AM)
Historia Ya Kiswahili Na Asili Yake:
      Kiswahili Asili Yake ni Kongo
Baadhi ya wataalamu hudai kuwa asili ya lugha ya Kiswahili ni huko Kongo ambayo baadaye iliitwa Zaire n...
MarcoMbao - (05-12-2016 at 02:21 PM)
Historia Ya Kiswahili Na Asili Yake:
huku ukitoa mifano tofautisha fasihi ya waswahili na fasihi ya kiswahili...
1 5,839
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
05-12-2016 02:21 PM
Last Post: MarcoMbao
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (11-05-2014 at 10:49 AM)
Uchambuzi Wa Wasakatonge:
Diwani ya Wasakatonge ni miongoni mwa diwani zilizochapishwa mwanzoni mwa karne ya ishirini na moja zikionesha changamoto m...
Emmanuel Alphonce Msabila - (01-30-2016 at 03:48 PM)
Uchambuzi Wa Wasakatonge:
Nimependezewa Na Uchambuzi Wako....
2 6,395
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
01-30-2016 03:48 PM
Last Post: Emmanuel Alphonce Msabila
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (02-21-2014 at 11:23 AM)
SARUFI:
Sarufi ni sheria, kanuni au taratibu zinazopaswa kufuatwa katika lugha fulani. Kila lugha huwa na kanuni zake. Katika sarufi tutazingatia sauti(utamka...
Elisha King Kalulumila - (12-18-2015 at 03:03 PM)
SARUFI:
naomba topics zote za kiswahili kwa Advance level mwaka huu...
1 6,087
 • 1 Vote(s) - 1 out of 5 in Average
12-18-2015 03:03 PM
Last Post: Elisha King Kalulumila
Post Discussion


New Posts New Posts
Hot Discussions (New) Hot Discussions (New)
Hot Thread (No New) Hot Thread (No New)
No New Posts No New Posts
Contains Posts by You Contains Posts by You
Locked Thread Locked Thread

Search this Forum: