How to register and join MyElimu CLICK HERE

User(s) browsing this room: 10 Guest(s)
Post Discussion
KISWAHILI
Discussion / Author Replies [asc] Views Rating Last Post
Room Announcements
  How to register and join MyElimu - - 01-27-2017 02:23 PM
  JINSI YA KUTUMIA MyElimu - - 01-24-2014 10:24 AM
Important Threads
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (04-01-2015 at 09:23 AM)
Methali Za Kiswahili:
-A-

Ada ya mja hunena, mwungwana ni kitendo[color=#000000].It is customary for a sla...
bensonrng - (09-07-2017 at 07:45 PM)
Methali Za Kiswahili:
 mlima unao tembea...
26 493,091
 • 1 Vote(s) - 5 out of 5 in Average
09-07-2017 07:45 PM
Last Post: bensonrng
New posts. Hot discussion. Lightbulb
Given - (02-21-2014 at 10:09 AM)
Tanzu na Vipera Vya Fasihi Simulizi:
Kwa mujibu wa Mulokozi katika Mulika namba 21(1989). Pamoja na kwamba Fasihi ni kongwe lakini kitaaluma bado ni changa kwa sababu ilianza kuchungunzwa...
SUSAN MACHARIA - (12-21-2015 at 11:07 AM)
Tanzu na Vipera Vya Fasihi Simulizi:
umuhimu wa aina za hadithi...
1 32,258
 • 1 Vote(s) - 5 out of 5 in Average
12-21-2015 11:07 AM
Last Post: SUSAN MACHARIA
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (03-10-2014 at 11:04 AM)
Utafsiri na Ukalimani:
MISINGI YA TAFSIRI NA UKALIMANI
Tafsiri ni nini?
-Newmark (1982) Tafsiri ni jaribio la kuw...
Imefungwa Rasmi - (01-01-2016 at 09:22 AM)
Utafsiri na Ukalimani:
nzuri...
1 10,935
 • 1 Vote(s) - 5 out of 5 in Average
01-01-2016 09:22 AM
Last Post: Imefungwa Rasmi
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (10-31-2016 at 11:29 AM)
List Ya Vitabu Na Riwaya Zilizochambuliwa:
Watoto wa Mama Ntiliye: Fungua

TAKADINI: [url=h...
MyElimu - (10-31-2016 at 11:29 AM)
List Ya Vitabu Na Riwaya Zilizochambuliwa:
Watoto wa Mama Ntiliye: Fungua

TAKADINI: [url=h...
0 1,474
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
10-31-2016 11:29 AM
Last Post: MyElimu
New posts. Hot discussion.  
MyElimu - (12-04-2017 at 02:18 PM)
Mada Za Kidato Cha Kwanza Na Nukuu Zake:
1. Lugha kama Chombo cha Mawasiliano
[url=http://www.myelimu.com/thread-A...
MyElimu - (12-04-2017 at 02:18 PM)
Mada Za Kidato Cha Kwanza Na Nukuu Zake:
1. Lugha kama Chombo cha Mawasiliano
[url=http://www.myelimu.com/thread-A...
0 1,841
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
12-04-2017 02:18 PM
Last Post: MyElimu
New posts. Hot discussion.  
MyElimu - (12-04-2017 at 02:51 PM)
Mada Za Kidato Cha Pili Na Nukuu Zake:
1. Uundaji wa Maneno
[url=http://www.myelimu.com/thread-Matumizi-Ya-Lugha-Katika-Miktadha-...
MyElimu - (12-04-2017 at 02:51 PM)
Mada Za Kidato Cha Pili Na Nukuu Zake:
1. Uundaji wa Maneno
[url=http://www.myelimu.com/thread-Matumizi-Ya-Lugha-Katika-Miktadha-...
0 1,665
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
12-04-2017 02:51 PM
Last Post: MyElimu
Normal Threads
New posts. Hot discussion. Question
MyElimu - (02-23-2014 at 03:59 PM)
Kwanini Kiswahili Kilisambaa zaidi Tanzania kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki?:
Baada ya uhuru mwaka 1961, lugha ya Kiswahili ilisambaa na kukua zaidi nchini Tanzania kuliko sehemu nyingine Afrika Mashariki. Je, ni sababu zipi zil...
williada - (06-11-2015 at 09:42 AM)
Kwanini Kiswahili Kilisambaa zaidi Tanzania kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki?:
- ukabila, katika nchi nyingine za afrika mashariki mfano uganda makabila kama baganda na nkole walidhani kuwa wakitumia lugha ya kiswahili lugha zao...
5 14,968
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-11-2015 09:42 AM
Last Post: williada
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (02-26-2014 at 09:49 AM)
Fonolojia Ya Kiswahili:
Neno fonolojia linatokana na maneno mawili ya Kigiriki phone-sauti za kusemwa na logos- taaluma/mtalaa. Masimulizi yanadai kuwa taaluma hii ilianza za...
francissmtambo - (06-28-2016 at 08:42 AM)
Fonolojia Ya Kiswahili:
(02-28-2014 11:01 AM)Given Wrote:   @andrew unaweza kuchangia kwa kuchagua somo kisha unabonyeza 'new topic' juu kulia.
Nzuri ni...
3 12,152
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-28-2016 08:42 AM
Last Post: francissmtambo
New posts. Hot discussion. Post Icon
Damian - (04-22-2017 at 09:29 PM)
Matumizi Ya Lugha Katika Miktadha Mbalimbali.:
Nini maana ya rejesta...
kemmyqlyon - (05-23-2017 at 02:16 PM)
Matumizi Ya Lugha Katika Miktadha Mbalimbali.:
(04-22-2017 09:29 PM)Damian Wrote:  Nini maana ya rejesta

ni matumizi ya lugha katika sehemu maalumu mfano rejesta ya hotelini ....
3 1,986
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
05-23-2017 02:16 PM
Last Post: kemmyqlyon
New posts. Hot discussion.  
Mbagala - (10-21-2014 at 08:44 PM)
Msaada Kuhusu Hii Misamiati:
Wana Kiswahili


nina shida ya
kutofautisha maneno haya BAINISHA na AINISHA.


Mfano: Bainisha na ainisha maneno yafuatayo
1. Anakikimbia
2.A...
Kessy Khali El Magnefico - (06-28-2016 at 10:14 AM)
Msaada Kuhusu Hii Misamiati:
 Ainisha ni kitenzi kinachotokana na nomino 'aina' chenye maana ya kuorodhesha aina ya kitu wakati bainisha ni kitenzi pia chenye maana ya kuonesha a...
2 4,827
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-28-2016 10:14 AM
Last Post: Kessy Khali El Magnefico
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (11-05-2014 at 10:49 AM)
Uchambuzi Wa Wasakatonge:
Diwani ya Wasakatonge ni miongoni mwa diwani zilizochapishwa mwanzoni mwa karne ya ishirini na moja zikionesha changamoto m...
Emmanuel Alphonce Msabila - (01-30-2016 at 03:48 PM)
Uchambuzi Wa Wasakatonge:
Nimependezewa Na Uchambuzi Wako....
2 6,952
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
01-30-2016 03:48 PM
Last Post: Emmanuel Alphonce Msabila
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (03-23-2015 at 09:27 AM)
Maswali Ya Kiswahili 1 Form 5:
MAELEKEZO:
[list=1]
[*]Karatasi hii ina sehemu A, B, C, D
[*]Jibu maswali saba 7 kwa kuchagua swali (1) kutoka kila sehemu isipokuwa B jibu ...
Elia Madete - (02-18-2018 at 10:43 PM)
Maswali Ya Kiswahili 1 Form 5:
Naomba jibu swali la 8

Sent from my TECNO WX3 using MyElimu mobile app...
2 10,270
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
02-18-2018 10:43 PM
Last Post: Elia Madete
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (07-22-2015 at 11:02 AM)
Jaribio La Kiswahili:
 
1. Fanya maswali yote 4
 
2. Kila swali alama 25
 
 
 
[list=1]
[*]Kwa nini  Waingereza waliunda kamati ya lugha ya Kisw...
francissmtambo - (06-26-2016 at 12:40 PM)
Jaribio La Kiswahili:
Kwasababu kiswahili kilikua ndio rahisi kuliko kingereza

Sent from my TECNO-C5 using [URL=http://r.tapatalk.com/byo?rid=88006]MyElimu mobile app[/URL...
2 3,633
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-26-2016 12:40 PM
Last Post: francissmtambo
New posts. Hot discussion.  
pkigobe95 - (08-01-2017 at 10:59 PM)
Jibu:
Neno mkatambike lina mofimu tegemezi ngapi...
MwlMaeda - (08-06-2017 at 08:34 AM)
Jibu:
M-ka-tambik-e

Ni ngapi hizo?

Karibu: http://www.mwalimuwakiswahili.com...
2 433
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
08-06-2017 08:34 AM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion.  
Frank Barasoni - (08-13-2016 at 07:13 PM)
Msaada Tafadhali Kuhusu Lahaja (a - Level ):
Naomba kujuzwa kuhusu LAHAJA

Sent from my SM-T231 using MyElimu mobile app...
masha - (10-20-2016 at 10:42 AM)
Msaada Tafadhali Kuhusu Lahaja (a - Level ):
Lahaja ni lugha tofauti tofauti ambazo zinatokana na lugha moja kuu. Watumiaji wa lugha fulani wanapopishana kimsamiati au kimuundo au kimatamshi au v...
2 1,054
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
10-20-2016 10:42 AM
Last Post: masha
New posts. Hot discussion. Smile
abuusalma - (11-19-2016 at 11:55 AM)
Kiswahili:
HI! Naombeni msaada wa methali hii
...............................................embe tunda la msimu.تصویر: images/smilies/smile.gifimages/...
MwlMaeda - (06-07-2017 at 10:35 PM)
Kiswahili:
Methali hii inamaanisha tusikumbatie mambo ya kupita na kudharau mambo ya kudumu...
2 1,096
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-07-2017 10:35 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion. Post Icon
MwlMaeda - (06-07-2017 at 01:14 PM)
Sifa Pambanuzi Za Kifani Za Utendi Andishi Wa Kiswahili Zinavyojitokeza Katika Utenzi:
[Image: FB_IMG_1492103076614.jpg]

 ...
MwlMaeda - (06-07-2017 at 01:38 PM)
Sifa Pambanuzi Za Kifani Za Utendi Andishi Wa Kiswahili Zinavyojitokeza Katika Utenzi:
(06-07-2017 01:34 PM)Catherina Wrote:  Nashukuru sana Mwalimu Maeda! Asante! Natumai utaendelea kutusaidia hapa

Nashukuru tupo pamoja sana


  ...
2 1,439
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-07-2017 01:38 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion. Post Icon
MwlMaeda - (06-14-2017 at 05:53 PM)
Majazi:
Majazi ni mbinu ya mhusika kuwa na jina lake rasmi (jina la kuzaliwa) linaloambatana na tabia/mienendo/sifa zake. Aidha, majazi inaweza kuwa mbinu ya ...
MwlMaeda - (06-18-2017 at 12:55 PM)
Majazi:
[quote=francissmtambo;1573]
Mwalimu hapa chini sijaelewa (mganga kuzimu ni mganda) Neno mganda Lina maana gani??

Sent from my Phantom6-Plus using...
2 1,368
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-18-2017 12:55 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion.  
MwlMaeda - (06-18-2017 at 12:59 PM)
Utumizi Wa Lugha:
UTUMIZI WA LUGHA
Dhanna ya utumizi wa lugha na mambo ya kuzingatia
Matumizi ya lugha ni namna ambavyo wazungumzaji wa lugha hutumia lugha k...
MwlMaeda - (06-20-2017 at 12:58 PM)
Utumizi Wa Lugha:
Mofimu ni moja wapo ya vipashio vya lugha. Vipashio vingine ni neno, kirai,kishazi na sentensi.

Isimu ni sayansi ya lugha...
2 4,247
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-20-2017 12:58 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (02-21-2014 at 11:23 AM)
SARUFI:
Sarufi ni sheria, kanuni au taratibu zinazopaswa kufuatwa katika lugha fulani. Kila lugha huwa na kanuni zake. Katika sarufi tutazingatia sauti(utamka...
Elisha King Kalulumila - (12-18-2015 at 03:03 PM)
SARUFI:
naomba topics zote za kiswahili kwa Advance level mwaka huu...
1 6,722
 • 1 Vote(s) - 1 out of 5 in Average
12-18-2015 03:03 PM
Last Post: Elisha King Kalulumila
Post Discussion


New Posts New Posts
Hot Discussions (New) Hot Discussions (New)
Hot Thread (No New) Hot Thread (No New)
No New Posts No New Posts
Contains Posts by You Contains Posts by You
Locked Thread Locked Thread

Search this Forum: