08-13-2016, 07:13 PM
Msaada Tafadhali Kuhusu Lahaja (a - Level )
|
0 Kitu gani kuhusu lahaja?
0 Lahaja ni lugha tofauti tofauti ambazo zinatokana na lugha moja kuu. Watumiaji wa lugha fulani wanapopishana kimsamiati au kimuundo au kimatamshi au vyote kwa pamoja uwezesha utokeaji wa lahaja
Lugha hizo hizo hutokea kutokana na athari mbalimbali kwa watumiaji wa lugha kuu moja ambazo hupelekea lahaja hizo kutokea mfano.umbali; ndani yake tunaweza kuona watu wakipishana hata misamiati kutoka mkoa mmoja na mwingine wilaya moja na nyingine sehemu moja na nyingne. Mf. Katka kabila la wachaga tunaweza kuona wanatofautiana kutokana na umbali nakuweza kuzungumza kichaga kilicho na utofauti mawazo yangu Sent from my TECNO H6 using MyElimu mobile app |
Users browsing this thread: |
1 Guest(s) |