0
Hello,
Tumeweka system ambayo itawezesha wanafunzi kuandika equations za formulas kwenye posts kwa urahisi. Topic hii ni ya maelekezo ya jinsi utakavyoweza kuandika equations hizo.
1. Kufugua equation
Kwanza inabidi uanze kwa kuandika {math} then equation yako halafu ukimaliza unafunga kwa {/math}. Mfano:-
{math}x=2{/math}. Kumbuka haya mabano inabidi uyaweke na kuyafunga kila kila equation, na katika maelekezo yote yanayofuata tuna-assume umeshafungua mabano ya {math}.
2. Fraction
Kuandika fraction, unaandika \frac{numerator}{denominator}. Mfano:-
\frac {x+y}{y-z} italeta .
Pia, unaweza kuweka fraction ndani ya fraction! Mfano:-
\frac{\frac{1}{x}+\frac{1}{y}}{y-z} italeta
Unaweza kufanya majaribio hapo chini kwa kureply na kisha kujaribu equation mbali mbali.
3. Powers and indices
Unaweza kuandika power kwa kuweka kialama cha "^" na indice kwa kuweka kialama cha _ . Mfano:-
Unaweza kuandika root kwa kuanza na \sqrt [namba ya nje] [namba za ndani]. Mfano:-
5. Brackets
Kuweka brackets, kuna njia mbili: Unaweza kuandika brackets kama kawaida, au kwa kuandika \left na \right. Angalia hapa chini:-
Matrices
Njia rahisi ya kuandika matrix ni \begin{matrix} a&b\\c&d \end{matrix} ambayo italeta .
Izungushie \left( ... \right) kupata . Alternatively, unaweza ukatumia \begin{pmatrix} ... \end{pmatrix} ambayo itazungushia matrix yako automatically na mabano.
NB: Alama ya // inaruka kwenda kwenye mstari mwingine.
Namna ya kuweka mabano
Kitu kingine cha kuzingatia ni jinsi haya mabano yanavyowekwa. Kama unataka mabano ya kawaida makubwa basi baada ya \left inabidi uweke bano la kawaida, yaani mfano \left(5)\right. Ila kama unataka mabano yenye mshale, basi utaandika \left{5 \left}
Symbols
Kama una swali au haujaelewa sehemu, tafadhali usisite kuuliza. Enjoy being a mathematician [img]images/smilies/smile.gif[/img]

- x^n italeta
- x^{2n} italeta
- Index italeta n_i
- n_{ij}italeta
Unaweza kuandika root kwa kuanza na \sqrt [namba ya nje] [namba za ndani]. Mfano:-
- \sqrt[3]{\frac {x^2}{4xy-2}} italeta
- x=\frac{-b\pm\sqrt{b^2-4ac}}{2a} italeta .
5. Brackets
Kuweka brackets, kuna njia mbili: Unaweza kuandika brackets kama kawaida, au kwa kuandika \left na \right. Angalia hapa chini:-
- (\frac{x^2}{y^3}) italeta
- \left(\frac{x^2}{y^3}\right) italeta