Yale Young African Scholars Program 2016 For Secondary School Students

Post Reply 
 
Thread Rating:
 • 0 Votes - 0 Average
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4
 • 5
Share Topic: GooglePlus Facebook Twitter
Yale Young African Scholars Program 2016 For Secondary School Students
MyElimu Offline
System
*******

Posts: 198
Thanks Given: 7
Thanks Received: 90 in 57 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 1

Country: Tanzania
Post: #1
Post Icon Yale Young African Scholars Program 2016 For Secondary School Students

0
0
Application zimefunguliwa kwa ajili ya Yale Young African Scholars 2016. Mafunzo haya ya bure yanawaleta pamoja wanafunzi mbalimbali wa sekondari kutoka Africa kujifunza pamoja kwa siku 7, na kuwasaidia kujiandaa kwa ajili ya kuapply vyuo nchini Marekani. YYAS ni program rasmi ya  Chuo Kikuu cha Yale University, kishirikiana na Higherlife Foundation.Maelezo ZaidiMafunzo ya 2016 yatafanyika katika maeneo matatu:
 • Ghana: 29 July – 4 August
 • Rwanda: 9 – 15 August
 • Zimbabwe: 20 – 26 August
Gharama na Faida Hakuna kiingilio cha kulipia ili kuingia kwenye Yale Young African Scholars Program. Hata hivyo, washiriki inabidi wajigharamie usafiri wa kwenda na kurudi kwenye mafunzo. Washiriki pia inabidi wajigharamie kwa vitu vyoyote watakavyotaka kununua wakiwa kwenye mafunzo. Wanafunzi watakaokubaliwa kushiriki kwenye program na wanahitaji msaada wa kifedha wanaweza kua[[ly kusaidiwa gharama za usafiri.Wanafunzi wanaweza kuapply kuomba kusaidiwa msaada wa ushafiri BAADA baada ya kupata mwaliko rasmi wa kupewa nafasi kwenye YYAS. Malazi katika campus za mafunzo ni lazima, na yatapatikana kwa wanafunzi wote pamoja na milo mitatu kwa siku. Pia, hakuna ada ya kushiriki kwenye program hii.Masharti
 • Mwombaji inabidi awe bado ana mwaka mmoja uliobaki kumaliza masomo yake ya sekondari.
 • Mwombaji inabidi awe na miaka kati ya 14 na 18 wakati wa program.
 • Mwombaji inabidi awe raia wa nchi za Africa anayeishi ndani ya Africa.
 • Waombaji watakaofanikiwa inabidi waonyeshe uwezo mkubwa kitaaluma, uwezo wa kiongozi, na kupenda yale yanayofundishwa kwenye program.
 • Mwombaji inabidi aw tayari kufanya kazi na wenzake kama team.
 • Waombaji wote watachujwa kwa usawa, na hakuna ufaulu wa chini unaotegemewa na hakuna mitihani utakayopewa ufanye. Hata hivyo inategemewa uwe na uwezo mkubwa kwenye kiingereza..
Jinsi ya kuapply
Ili kuapply, inabidi mwombaji awasilishe yafuatayo:
 • Application form iliyokamilika – Fomu inapatikana hapa na inabidi ijazwe na na mwombaji.
 • Barua moja kutoka kwa mwalimu – Barua hii itakuwa ni ya mwalimu akionyesha unafaa kushiriki kwenye program. Mwalimu anaweza kutuma barua hiyo kupitia link ataayotumiwa mwombaji kwenye email Njia nyingine, mwalimu anaweza kutuma barua hiyo kwa email kwenda [email protected] nayo itaambatanishwa kwenye file la mwombaji. Pia, waombaji inabidi wachague mwalimu ambaye yupo shuleni kwao anamjua mwombani vizuri na ameshamfundisha katika masomo yake.
 • Matokeo rasmi ya mwombaji – Hii ni ripoti rasmi ya shule ikionyesha matokeo yako ya masomo ya darasani. 
Kama utahitaji maelezo zaidi unaweza kutembelea tovuti rasmi ya program -  Yale Young African Scholars Program.

MyElimu itafurahi kumsaidia mwanafunzi yoyote katika kuapply kupata nafasi hii.

 
(This post was last modified: 11-09-2015 10:39 AM by MyElimu.)
11-09-2015 10:16 AM
Visit this user's website Find all posts by this user Add Thank You Quote this message in a reply
Post Reply 


[-]
Quick Reply
Message
Type your reply to this message here.


Disable AutoMedia embedding for this link.   AutoMedia MP3 Playlist

Image Verification
Please enter the text within the image on the left in to the text box below. This process is used to prevent automated posts.
 

Possibly Related Threads...
Thread: Author Replies: Views: Last Post
Post Icon Yale Young African Scholars For Secondary School Students MyElimu 0 232 11-16-2016 07:12 PM
Last Post: MyElimu
Post Icon Tcra Ict Scholarships To Tanzania Students [fully Funded] MyElimu 1 4,527 10-17-2016 11:52 AM
Last Post: BenjamineDupont
Post Icon Junior Challenge - For Students Aged 13 - 18 111 1 103 10-17-2016 11:26 AM
Last Post: BenjamineDupont
Post Icon Angalia Ulipopangiwa: Jkt 2016 MyElimu 0 2,591 05-21-2016 04:55 PM
Last Post: MyElimu
Post Icon Mauritius Scholarship For Tanzanian Students 2016 MyElimu 0 646 04-10-2016 12:10 PM
Last Post: MyElimu
Page_white_word Sadc Essay Writing Competition 2016 Emanuel Christopher Njavike 0 411 04-01-2016 11:14 AM
Last Post: Emanuel Christopher Njavike
Post Icon East African Essay Writing Competition 2016 Emanuel Christopher Njavike 0 1,457 04-01-2016 10:54 AM
Last Post: Emanuel Christopher Njavike
Post Icon Scholarship To Attend Yale Young Global Scholars Program MyElimu 0 1,024 01-13-2016 12:03 PM
Last Post: MyElimu
Post Icon 1.acsee Examination Timetable Of 2016 Imefungwa Rasmi 0 1,296 01-01-2016 01:58 PM
Last Post: Imefungwa Rasmi
Post Icon 2015 World Food Prize Global Youth Institute For Students – Iowa, Usa MyElimu 0 1,143 05-18-2015 04:05 PM
Last Post: MyElimuUser(s) browsing this thread: 1 Guest(s)
@MyElimu @MyElimu @MyElimu