0
Utangulizi
Uundaji wa maneno ni kitendo cha kuzalisha maneno mapya kunakotokana na sababu mbalimbali ili kukidhi mahitaji yaliyopo katika jamii.
Pia maneno mapya huundwa kutokana na mabadiliko yanayoikumba jamii kiuchumi,kisiasa, kiutamaduni, kisayansi na teknolojia.
NJIA ZA UUNDAJI WA MANENO
Kuna aina mbili za uundaji wa maneno
(a) Uambishaji
(b) Mnyumbuliko
Kwa mfano: Cheza - anachezewa, anachezea,mchezo na wachezaji
Pika - wanapikiwa, anapika
Viambishi ni mofimu zinazoongezwa kabla au baada ya mzizi wa neno
Mofimu ni kipashio kidogo kabisa cha kiisimu chenye muundo wa kisarufi.
Mzizi ni sehemu ya neno ambayo haibadiliki ukiondoa viambishi vilivyoko mwanzoni na mwishoni mwa neno.
Kuna aina mbili za viambishi
Mzizi Lima – analima, atalima, walilima, wanalima.
Dhima za viambishi awali
Unacheza( Nafsi ya 2 Umoja)
Mnacheza( Nafsi ya 2 wingi)
*Hali ya kuendelea kwa jambo, kwa mfano; Anaeleza
Anakula
*Hali timilifu, kwa mfano; Ameenda
Amesoma
Amecheza
*m -urejeshi wa mtendwa
Kwa mfano; Lima- limika,limisha,limwa
Lim- Mzizi wa neno
Dhima za viambishi tamati
lima,cheza, imba
Kauli ya mtendewa
Limwa
Chezwa
Imbwa
Kauli ya kutendwa
Limia
Chezea
Imbia
Kauli ya kutendeka
Limika
Chezeka
Imbika
Kauli ya kutendewa
Limiwa
Chezesha
Imbiwa
Mnyumbuliko huweza kujitokeza katika vipengele vifuatavyo,
kwa mfano;*Kitenzi- Pigana, pigwa, pigiana
*Nomino;- Nyumba- nyumbani,
Shule- shuleni
Dhima za mnyumbuliko
Cheza, chezewa, chezesha
Weka- wekeza
Pigia- 1.Piga kwa niaba ya mtu Fulani
2.Piga kwa kutumia kifaa Fulani
MOFIMU
Ni neno au sehemu ya neno yenye maana maalumu kisarufi, kwa mfano; mama, baba, mtoto.
Kuna aina mbili za mofimu;
Mofimu Huru
Ni aina ya mofimu ambayo hujengwa na maneno yaliyo na maana kamili na ambayo hayagawanyiki katika sehemu ndogo, kama yatagawanyika zaidi hupoteza maana. Kwa mfano; Asha, maziwa, Tanzania, mapinduzi
Mofimu Tegemezi
Ni aina ya mofimu ambayo ni sehemu ndogo ya neno yenye maana kisarufi na haiwezi kusimama peke yake na kuleta maana ya kisarufi na haiwezi kusimama peke yake na kuleta maana lakini inaweza kugawanyika katika sehemu ndogo ya neno yenye maana kisarufi
Kwa mfano; a_na_li_ma
“a” huonyesha nafsi
Dhima za Mofimu
Pigwa- kutendewa
Pigana- kutendeana

- UAMBISHAJI

- Viambishi awali
- Viambishi tegemezi
- Viambishi awali
Mzizi Lima – analima, atalima, walilima, wanalima.
Dhima za viambishi awali
- Kudokeza/ kuonyesha nafsi,kwa mfano; Anacheza (Nafsi ya 3 Umoja)
Unacheza( Nafsi ya 2 Umoja)
Mnacheza( Nafsi ya 2 wingi)
- Hudokeza idadi ya umoja na wingi,kwa mfano;Anacheza – Idadi(umoja)
- Hudokeza njeo(wakati), kwa mfano; Analima – wakati uliopo Atalima – wakati ujao
- Hudokeza hali mbalimbali,*hali ya masharti kwa mfano; Akija
*Hali ya kuendelea kwa jambo, kwa mfano; Anaeleza
Anakula
*Hali timilifu, kwa mfano; Ameenda
Amesoma
Amecheza
- Hufanya kazi ya kuonyesha urejesho wa mtenda, mtendwa na mtendewa Kwa mfano; Alipompiga
*m -urejeshi wa mtendwa
- Hudokeza uyakinishi na ukanushi, Kwa mfano; Anaimba- haimbi Uyakinishi- ukanushi
- Huonyesha mzizi wa neno,Kwa mfano; Anacheza- chez (mzizi)
- Viambishi Tamati
Kwa mfano; Lima- limika,limisha,limwa
Lim- Mzizi wa neno
Dhima za viambishi tamati
- Hufanya kazi ya kuzalisha kauli mbalimbali,
lima,cheza, imba
Kauli ya mtendewa
Limwa
Chezwa
Imbwa
Kauli ya kutendwa
Limia
Chezea
Imbia
Kauli ya kutendeka
Limika
Chezeka
Imbika
Kauli ya kutendewa
Limiwa
Chezesha
Imbiwa
- MNYUMBULIKO
Mnyumbuliko huweza kujitokeza katika vipengele vifuatavyo,
kwa mfano;*Kitenzi- Pigana, pigwa, pigiana
*Nomino;- Nyumba- nyumbani,
Shule- shuleni
Dhima za mnyumbuliko
- Hurefusha maneno,
Cheza, chezewa, chezesha
- Huzalisha maneno mapya
Weka- wekeza
- Hupanua maana ya neno
Pigia- 1.Piga kwa niaba ya mtu Fulani
2.Piga kwa kutumia kifaa Fulani
MOFIMU
Ni neno au sehemu ya neno yenye maana maalumu kisarufi, kwa mfano; mama, baba, mtoto.
Kuna aina mbili za mofimu;
- Mofimu huru
- Mofimu tegemezi
Mofimu Huru
Ni aina ya mofimu ambayo hujengwa na maneno yaliyo na maana kamili na ambayo hayagawanyiki katika sehemu ndogo, kama yatagawanyika zaidi hupoteza maana. Kwa mfano; Asha, maziwa, Tanzania, mapinduzi
Mofimu Tegemezi
Ni aina ya mofimu ambayo ni sehemu ndogo ya neno yenye maana kisarufi na haiwezi kusimama peke yake na kuleta maana ya kisarufi na haiwezi kusimama peke yake na kuleta maana lakini inaweza kugawanyika katika sehemu ndogo ya neno yenye maana kisarufi
Kwa mfano; a_na_li_ma
“a” huonyesha nafsi
Dhima za Mofimu
- Huonyesha nafsi, kwa mfano; anacheza- huonyesha nafsi ya tatu umoja
- Huonyesha wakati (njeo), kwa mfano; anacheza- huonyesha wakati uliopo
- Huonyesha ukanushi,Kwa mfano; Hajacheza- hukanusha
- Huonyesha kauli mbalimbali,
Pigwa- kutendewa
Pigana- kutendeana
- Huonyesha urejeshi wa mtenda/mtendwa