Udhibiti Wa Kazi Za Fasihi Kwa Ufupi
Student of the Month: Meet our May student of the Month - Francis John Likena from Morogoro (Form 2, King'ongo Secondary School)

Post Reply 
 
Thread Rating:
  • 1 Votes - 5 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Share Topic: GooglePlus Facebook Twitter
Udhibiti Wa Kazi Za Fasihi Kwa Ufupi
MwlMaeda Offline
Teacher
Teacher

Posts: 39
Thanks Given: 1
Thanks Received: 1 in 1 posts
Joined: Feb 2017
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 3,446.38 points
Country: Tanzania
Post: #1
Post Icon Udhibiti Wa Kazi Za Fasihi Kwa Ufupi

0
0
E.Kezilahabi ni mmoja wa watu waliokumbana na kinachoitwa udhibiti wa kazi za fasihi. Udhibiti huu ulianzia Amerika ya Kusini na mtu wa kwanza kudhibitiwa huko alikuwa mtunzi mashuhuri wa mashairi Pablo Neruda ambaye alianza kupingwa baada ya kubadili utunzi wake na kusema maovu ya tabaka tawala. Rosa Mistika cha E. Kezilahabi kilipigwa marufuku kwa kuwasema wakubwa akiwemo Deogratias aliyekuwa bwana maendeleo kwa kutembea na wanafunzi akiwemo Rosa, ili kudhiti siri za wakubwa kuwekwa wazi serikali ilitafuta visingizio vya kukipiga marufuku kitabu hicho na ikawa kama ifuatavyo:
1. Ilidaiwa na serikali kuwa kitabu hicho kinaharibu maadili kwa kuanika hadharani mambo machafu yasiyoendana na maadili ya mtanzania.

2. Wanawake nao wakaja juu kwa madai kuwa wamedhalilishwa kupitia matendo ya Rosa yaliyoandikwa kitabuni, inadaiwa kuwa mama mmoja aliwahi kuzimia baada ya kumkuta binti yake akisoma kitabu hicho.

3. Kundi la tatu ni kanisa Katoliki ambalo lilikuja juu kwa madai kuwa Mistika ni moja wapo wa sifa za Bikira Maria mtakatifu, hivyo ni udhalilishaji kumpa Rosa jina hilo hali ni mchafu wa matendo kiasi kile.

Kimsingi pamoja na udhibiti huo E. Kezilahabi alizidisha utunzi wake kwa kutumia lugha ngumu sana isiyoeleweka kirahisi hasa kwa msomaji wa kawaida.

Watunzi wengine walokumbana na udhibiti kama huo kwa Afrika ni Peter Abrahams (Makhumazhan), David G. Mailu (My Dear Bottle), Ngugi wa Thiong'o ( I will Marry When I want - ambacho alikiandika upya kwa lugha yao kikaitwa Ngaaika Ndeenda), kwa ujumla hofu ya tabaka tawala ndio msingi wa udhibiti wa kazi za fasihi.

Mtunzi wa kazi ya fasihi huweza kuwa huru iwapo tu atakuwa na vitu vifuatavyo:

1. Utashi
2. Falsafa inayoeleweka
3. Msimamo
4. Kuitawala sanaa
5. Kuimudu lugha
(This post was last modified: 06-08-2017 07:12 PM by MwlMaeda.)
06-08-2017 07:09 PM
Visit this user's website Find all posts by this user Add Thank You Quote this message in a reply
Post Reply 


You may also like these discussions:
Thread: Author Replies: Views: Last Post
Post Icon Nyimbo Katika Fasihi Simulizi MwlMaeda 0 59 06-09-2017 12:23 PM
Last Post: MwlMaeda
  Madoido Katika Fasihi MwlMaeda 0 48 06-07-2017 10:57 PM
Last Post: MwlMaeda
Post Icon Mofimu Na Kazi Za Mofimu MyElimu 0 1,660 05-15-2016 12:10 AM
Last Post: MyElimu
Lightbulb Tanzu na Vipera Vya Fasihi Simulizi Given 1 20,623 12-21-2015 11:07 AM
Last Post: SUSAN MACHARIA
Post Icon Fani Na Maudhui Katika Fasihi MyElimu 0 5,825 09-12-2014 02:17 PM
Last Post: MyElimu
Post Icon Siti Binti Saadi - Mtunzi mkongwe wa Fasihi ya Kiswahili Given 0 1,917 02-20-2014 11:40 PM
Last Post: GivenUser(s) browsing this thread: 1 Guest(s)