Student's Talk Series: Dawati La Myelimu

Post Reply 
 
Thread Rating:
  • 1 Votes - 5 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Share Topic: GooglePlus Facebook Twitter
Student's Talk Series: Dawati La Myelimu
MyElimu Offline
System
*******

Posts: 208
Thanks Given: 7
Thanks Received: 96 in 60 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 1

Points: 357.01Points
Country: Tanzania
Post: #1
Post Icon Student's Talk Series: Dawati La Myelimu

0
0
#DawatiLaMyElimu

Kama MyElimu, lengo letu ni kukusaidia wewe wanafunzi ili uweze kusoma kwa ubora zaidi na kwa urahisi zaidi. Juu ya hilo, ni muhimu kwetu uweze kutumia elimu unayoipata ili uweze kujiendeleza katika karne hii ya 21. Elimu hii haiwezi kubaki kuwa ndani ya darasani tu  maana ukimaliza shule nini kinafuata?   
[Image: a4rfx1.jpg]

Dawati la MyElimu ni segment mpya ya MyElimu ambayo kila mwezi tutakuwa tukikuletea wewe wanafunzi mtu ambaye unaweza kujifunza kutoka kwake mambo mbalimbali, ndani ya shule na nje ya shule kwa ujumla. Awe mfanyabiashara, msanii, mwanafunzi, kijana msajiliamali, na kadhalika - mradi tu anaweza kukufundisha kitu. 
[Image: r8zd60.jpg]

Mwezi huu tarehe 13/08 tutakuwa na ndugu Benjamin Fernandes. Benjamin ni mtanzania anayesomea Masters in Business Administration (MBA), Chuo cha Stanford, Marekani na kufanya kazi Bill & Melinda Gates Foundation. Jumamosi atakuwa hapa kwenye #DawatiLaMyElimu atakapokuwa akiongelea namna kijana unaweza kujiendeleza kimaisha bila kujali unapotoka. Ni kuanzia saa 1 mpaka saa 2 jioni. Video itakuwa live. Kama una swali unataka kumuuliza andika swali lako kwenye sehemu ya ya discussion hapo chini nasi tunamfikishia naye atakujibu siku hiyo. Share uwakaribishe na wengine! 
 
(This post was last modified: 08-08-2016 07:42 PM by MyElimu.)
08-08-2016 06:40 PM
Visit this user's website Find all posts by this user Add Thank You Quote this message in a reply
Emanuel Christopher Njavike Offline
MyElimu
MyElimu Staff
Support Team

Posts: 4
Thanks Given: 2
Thanks Received: 8 in 1 posts
Joined: Aug 2014
Reputation: 0

Points: 2.00Points
Post: #2
RE: Student's Talk Series: Dawati La Myelimu

0
0
Not to miss!
08-13-2016 08:28 AM
Find all posts by this user Quote this message in a reply
BenjamineDupont Offline
Regular User
Registered

Posts: 8
Thanks Given: 0
Thanks Received: 0 in 0 posts
Joined: Oct 2016
Reputation: 0

Points: 0.00Points
Country: Afghanistan
Post: #3
RE: Student's Talk Series: Dawati La Myelimu

0
0
I tried a lot of applocks to lock installed apps not none of them was able to do so. But LEO Privacy solved my purpose. Its really awesome. Luving this app.
10-17-2016 11:40 AM
Find all posts by this user Quote this message in a reply
Post Reply 


You may also like these discussions:
Thread: Author Replies: Views: Last Post
Post Icon Myelimu Volunteers Annouced MyElimu 0 1,001 11-09-2015 12:46 PM
Last Post: MyElimuUser(s) browsing this thread: 1 Guest(s)