06-01-2017, 10:05 AM
0
Kila mwisho wa mwezi, MyElimu inamtafuta mwanafunzi mmoja kuwa mwanafunzi bora wa mwezi. MyElimu ina mfumo wa point ambao mwanafunzi anapata point kwa kufanya yafuatayo:-
Uko tayari? Nenda kakusanye points!
5 bora ya mwezi wa May 2017:
Hongera kwao wote!
- Kuanzisha discussions
- Kupost kwenye discussions za wengine
- Kutoa majibu sahihi ambayo muulizaji atasema 'Mark as best answer'.
Uko tayari? Nenda kakusanye points!
5 bora ya mwezi wa May 2017:
- Francis John Likena (360.72 points)
- Ryan Murphy (321.06 points)
- Dominic Sawyer (228.10 points)
- 'Mwalimu' Maeda (174.10 points)
- Laura P (108.9 points)
Hongera kwao wote!