Sifa Za Mlumbi
Student of the Month: Meet our May student of the Month - Francis John Likena from Morogoro (Form 2, King'ongo Secondary School)

Post Reply 
 
Thread Rating:
  • 0 Votes - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Share Topic: GooglePlus Facebook Twitter
Sifa Za Mlumbi
MwlMaeda Offline
Teacher
Teacher

Posts: 39
Thanks Given: 1
Thanks Received: 1 in 1 posts
Joined: Feb 2017
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 3,446.38 points
Country: Tanzania
Post: #1
Sifa Za Mlumbi

0
0
Ulumbi ni uwezo wa kipekee wa kuzungumza mbele ya hadhira. Mtu mwenye uwezo huo wa kipekee wa kuzungumza jukwaani huitwa mlumbi. Walumbi husifika sana kwa kuzungumzia mambo yanayoathiri jamii.

Sifa za Mlumbi


- Ana uwezo wa kushawishi watu kuhusu ujumbe anaopitisha.
- Huwa mkwasi wa lugha anayeifahamu vizuri lugha yake.
- Hutumia lugha ya kuvutia na kumakinisha hadhira
- Anaifahamu sana hadhira yake na maswala yanayoiathiri.
- Ni kiongozi.

Umuhimu wa Ulumbi katika jamii


- Kuhamasisha jamii kuhusu mambo yanayowakabili.
- Kuunganisha watu watekeleze jambo fulani kwa pamojaKuburudisha

Karibu: http://www.mwalimuwakiswahili.com
06-14-2017 10:40 AM
Visit this user's website Find all posts by this user Add Thank You Quote this message in a reply
Post Reply 


You may also like these discussions:
Thread: Author Replies: Views: Last Post
Post Icon Tabia Na Sifa Za Lugha MwlMaeda 0 54 06-07-2017 01:58 PM
Last Post: MwlMaeda
Post Icon Sifa Pambanuzi Za Kifani Za Utendi Andishi Wa Kiswahili Zinavyojitokeza Katika Utenzi MwlMaeda 2 108 06-07-2017 01:38 PM
Last Post: MwlMaedaUser(s) browsing this thread: 1 Guest(s)