Msaada Kuhusu Hii Misamiati

Post Reply 
 
Thread Rating:
  • 0 Votes - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Share Topic: GooglePlus Facebook Twitter
Msaada Kuhusu Hii Misamiati
Mbagala Offline
Regular User
Registered

Posts: 1
Thanks Given: 0
Thanks Received: 1 in 1 posts
Joined: May 2014
Reputation: 0

Points: 0.00Points
Post: #1
Msaada Kuhusu Hii Misamiati

0
0
Wana Kiswahili


nina shida ya
kutofautisha maneno haya BAINISHA na AINISHA.


Mfano: Bainisha na ainisha maneno yafuatayo
1. Anakikimbia
2.Anakula
10-21-2014 08:44 PM
Find all posts by this user Add Thank You Quote this message in a reply
kimaro Offline
Regular User
Registered

Posts: 1
Thanks Given: 0
Thanks Received: 0 in 0 posts
Joined: Jul 2015
Reputation: 0

Points: 0.00Points
Post: #2
RE: Msaada Kuhusu Hii Misamiati

0
0
 Kwanza nikusahihishe tu kuwa neno msamiati halina wingi. Hivyo hupaswi kusema misamiati. pili kubainisha na kuainisha kimsingi kuna tofauti. Ainisha maana yake andika aina ya kitu. Mfanp unaweza kuambiwa ainisha maneno katika sentensi maana yake uandike aina za maneno yaliyounda sentensi. Ila unaweza ukapewa neno kama ulivyoandika hapo juu ukaambiwa bainisha mofimu nk
07-02-2015 04:40 PM
Find all posts by this user Quote this message in a reply
Kessy Khali El Magnefico Offline
Regular User
Registered

Posts: 1
Thanks Given: 0
Thanks Received: 0 in 0 posts
Joined: Jun 2016
Reputation: 0

Points: 0.00Points
Post: #3
RE: Msaada Kuhusu Hii Misamiati

0
0
 Ainisha ni kitenzi kinachotokana na nomino 'aina' chenye maana ya kuorodhesha aina ya kitu wakati bainisha ni kitenzi pia chenye maana ya kuonesha au kudhihirisha mfano bainisha tofauti kati ya nomino na kitenzi hapo inamaanisha uoneshe tofauti kati ya nomino na kitenzi.
06-28-2016 10:14 AM
Find all posts by this user Quote this message in a reply
Post Reply 


Possibly Related Threads...
Thread: Author Replies: Views: Last Post
  A-LEVEL:  Msaada Tafadhali Kuhusu Lahaja (a - Level ) Frank Barasoni 2 379 10-20-2016 10:42 AM
Last Post: masha
  Naombeni Msaada Alex Hamis 0 570 03-06-2016 08:32 PM
Last Post: Alex HamisUser(s) browsing this thread: 1 Guest(s)
@MyElimu @MyElimu @MyElimu