06-07-2017, 07:04 PM
0
Methali: Mficha uchi hazai.
Maana:Mtu ambaye haweki wazi matatizo yake au siri zake wazi, hawezi pata msaada.
Madhara ya methali hiyo: Watu kuweka au kutoa siri zao hata kwa watu wasiostahili.
Faida: kupata msaada unaotaka maana tatizo lako litajulikana
Sent from my TECNO-L8 using MyElimu mobile app