Maswali Ya Kiswahili 1 Form 6
Student of the Month: Meet our May student of the Month - Francis John Likena from Morogoro (Form 2, King'ongo Secondary School)

Post Reply 
 
Thread Rating:
  • 0 Votes - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Share Topic: GooglePlus Facebook Twitter
Maswali Ya Kiswahili 1 Form 6
MyElimu Offline
System
*******

Posts: 211
Thanks Given: 7
Thanks Received: 97 in 61 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 1
Friend:  Add as Friend

Points: 439.39 points
Country: Tanzania
Post: #1
Post Icon Maswali Ya Kiswahili 1 Form 6

0
0
SEHEMU A: UFAHAMU NA UFUPISHO
 
1. Jibu maswali yote kutoka sehemu hii.
 
Baadhi ya wananchi wakaanza kuamini kwamba huo ndio ulikuwa mtindo wa maisha sasa. Wakaanza kujivunia na kufurahia vitendo vyao vya uovu wakaanza kudhihaki uadilifu na wema.
Wakaanza kukosa huruma
Ubinafsi wa viongozi ukashamiri
Ufisadi (rushwa) ukajichimbia
Uchu wa madaraka ukatawala
Woga wa kufichua wala rushwa ukaigubika nchi.
Ujasiri wa kudai haki za kiraia ukafifia
Mafisadi wakawa vigogo, vilivyoweza kupelekwa mahakama.
Ufisadi hufanya yasiyowezekana, huingilia harakati za uchumi.
Makabwela ndio hukandamizwa zaidi na ufisadi huwasamehe matajiri kulipa kodi, ni kikwazo cha maendeleo.
 
MASWALI:
[list=lower-roman]
[*]Andika kichwa cha habari kinachofaa kwa kifungu hiki.
[*]Mtindo wa maisha sasa ni upi?
[*]Mwandishi analalamika juu ya jambo gani.
[*]Ufisadi unafanya nini?
[*]Unafikiri mwandishi amefanikiwa kufikisha ujumbe.

 
 
2. Fupisha habari kwa maneno 30 tu.
 
    SEHEMU B: MATUMIZI YA SARUFI NA UTUMIZI WA LUGHA
    JIBU MASWALI 2
 
3. Changanua sentensi zifuatazo kwa njia ya matawi, zingatia vigezo vyote viwili
    (a) Watoto wawili wanacheza mpira mkubwa na baba yao anaandika barua fupi.
    (b) Mama mdogo ametusimulia hadhithi ndefu leo jioni
    © Watoto waliadhibiwa walikimbilia nyumbani.
 
4. Eleza ubora na udhaifu wa kuainisha ngeli za nomino kisintaksia.
 
  
     SEHEMU C: UTUNGAJI
5.  Andika mambo muhimu katika uandishi wa ripoti.
 
 
     SEHEMU D: MAENDELEO YA KISWAHILI
6. Ni kwa vipi harakati za ukombozi wa kisiasa nchini Tanzania zilisaidia kukuza na kueneza Kiswahili  kabla ya uhuru.
 
7. Fafanua kwa ufasaha malengo matano (5) ya chama cha Kiswahili cha Afrika mashariki (CHAKAMA).
 
 
SEHEMU E: TAFSIRI NA UKALIMANI
8. (a) Nini maana ya tafsiri?
    (b) Eleza umuhimu wa tafsiri

 
03-23-2015 09:31 AM
Visit this user's website Find all posts by this user Add Thank You Quote this message in a reply

Unregistered Student

 
Points: 0.00 points
Post: #2
RE: Maswali Ya Kiswahili 1 Form 6

0
0
lula 171/158
08-19-2016 08:51 PM
Quote this message in a reply
Post Reply 


You may also like these discussions:
Thread: Author Replies: Views: Last Post
Post Icon Maswali Ya Kiswahili 1 Form 5 MyElimu 1 6,997 07-20-2017 08:34 PM
Last Post: utouh
  Misemo,nahau Na Methali Za Kiswahili MwlMaeda 1 55 07-20-2017 08:24 PM
Last Post: utouh
  Jibu Maswali Yafuatayo MwlMaeda 0 46 06-21-2017 03:11 PM
Last Post: MwlMaeda
  Jipime Kwa Maswali Haya MwlMaeda 0 61 06-12-2017 11:01 PM
Last Post: MwlMaeda
  Jipime Kwa Maswali Haya MwlMaeda 0 46 06-12-2017 10:58 PM
Last Post: MwlMaeda
Smile Kiswahili abuusalma 2 529 06-07-2017 10:35 PM
Last Post: MwlMaeda
Post Icon Sifa Pambanuzi Za Kifani Za Utendi Andishi Wa Kiswahili Zinavyojitokeza Katika Utenzi MwlMaeda 2 113 06-07-2017 01:38 PM
Last Post: MwlMaeda
Post Icon Methali Za Kiswahili MyElimu 25 450,560 05-31-2017 07:19 PM
Last Post: Damian
Post Icon Methali Za Kiswahili Na Tafsiri Zake Pilipilihoho 1 1,232 10-01-2016 12:11 PM
Last Post: zulaiphatboka
Post Icon Fonolojia Ya Kiswahili MyElimu 3 9,332 06-28-2016 08:42 AM
Last Post: francissmtamboUser(s) browsing this thread: 1 Guest(s)