Maswali Ya Kiswahili 1 Form 6

Post Reply 
 
Thread Rating:
  • 0 Votes - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Share Topic: GooglePlus Facebook Twitter
Maswali Ya Kiswahili 1 Form 6
MyElimu Offline
System
*******

Posts: 208
Thanks Given: 7
Thanks Received: 96 in 60 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 1

Points: 353.01Points
Country: Tanzania
Post: #1
Post Icon Maswali Ya Kiswahili 1 Form 6

0
0
SEHEMU A: UFAHAMU NA UFUPISHO
 
1. Jibu maswali yote kutoka sehemu hii.
 
Baadhi ya wananchi wakaanza kuamini kwamba huo ndio ulikuwa mtindo wa maisha sasa. Wakaanza kujivunia na kufurahia vitendo vyao vya uovu wakaanza kudhihaki uadilifu na wema.
Wakaanza kukosa huruma
Ubinafsi wa viongozi ukashamiri
Ufisadi (rushwa) ukajichimbia
Uchu wa madaraka ukatawala
Woga wa kufichua wala rushwa ukaigubika nchi.
Ujasiri wa kudai haki za kiraia ukafifia
Mafisadi wakawa vigogo, vilivyoweza kupelekwa mahakama.
Ufisadi hufanya yasiyowezekana, huingilia harakati za uchumi.
Makabwela ndio hukandamizwa zaidi na ufisadi huwasamehe matajiri kulipa kodi, ni kikwazo cha maendeleo.
 
MASWALI:
[list=lower-roman]
[*]Andika kichwa cha habari kinachofaa kwa kifungu hiki.
[*]Mtindo wa maisha sasa ni upi?
[*]Mwandishi analalamika juu ya jambo gani.
[*]Ufisadi unafanya nini?
[*]Unafikiri mwandishi amefanikiwa kufikisha ujumbe.
[/list]
 
 
2. Fupisha habari kwa maneno 30 tu.
 
    SEHEMU B: MATUMIZI YA SARUFI NA UTUMIZI WA LUGHA
    JIBU MASWALI 2
 
3. Changanua sentensi zifuatazo kwa njia ya matawi, zingatia vigezo vyote viwili
    (a) Watoto wawili wanacheza mpira mkubwa na baba yao anaandika barua fupi.
    (b) Mama mdogo ametusimulia hadhithi ndefu leo jioni
    © Watoto waliadhibiwa walikimbilia nyumbani.
 
4. Eleza ubora na udhaifu wa kuainisha ngeli za nomino kisintaksia.
 
  
     SEHEMU C: UTUNGAJI
5.  Andika mambo muhimu katika uandishi wa ripoti.
 
 
     SEHEMU D: MAENDELEO YA KISWAHILI
6. Ni kwa vipi harakati za ukombozi wa kisiasa nchini Tanzania zilisaidia kukuza na kueneza Kiswahili  kabla ya uhuru.
 
7. Fafanua kwa ufasaha malengo matano (5) ya chama cha Kiswahili cha Afrika mashariki (CHAKAMA).
 
 
SEHEMU E: TAFSIRI NA UKALIMANI
8. (a) Nini maana ya tafsiri?
    (b) Eleza umuhimu wa tafsiri

 
03-23-2015 09:31 AM
Visit this user's website Find all posts by this user Add Thank You Quote this message in a reply

Unregistered Student

 
Points: 0.00Points
Post: #2
RE: Maswali Ya Kiswahili 1 Form 6

0
0
lula 171/158
08-19-2016 08:51 PM
Quote this message in a reply
Post Reply 


Possibly Related Threads...
Thread: Author Replies: Views: Last Post
Post Icon Methali Za Kiswahili MyElimu 26 424,162 01-18-2017 06:44 PM
Last Post: Guest
Smile O-LEVEL:  Kiswahili abuusalma 1 409 11-20-2016 10:56 AM
Last Post: Musa
Post Icon Methali Za Kiswahili Na Tafsiri Zake Pilipilihoho 1 1,079 10-01-2016 12:11 PM
Last Post: zulaiphatboka
Post Icon Fonolojia Ya Kiswahili MyElimu 3 9,096 06-28-2016 08:42 AM
Last Post: francissmtambo
Post Icon Jaribio La Kiswahili MyElimu 2 2,488 06-26-2016 12:40 PM
Last Post: francissmtambo
Post Icon Historia Ya Kiswahili Na Asili Yake MyElimu 1 4,604 05-12-2016 02:21 PM
Last Post: MarcoMbao
Question Kwanini Kiswahili Kilisambaa zaidi Tanzania kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki? MyElimu 5 10,376 06-11-2015 09:42 AM
Last Post: williada
Post Icon Maswali Ya Kiswahili 1 Form 5 MyElimu 0 6,566 03-23-2015 09:27 AM
Last Post: MyElimu
Post Icon Siti Binti Saadi - Mtunzi mkongwe wa Fasihi ya Kiswahili Given 0 1,856 02-20-2014 11:40 PM
Last Post: GivenUser(s) browsing this thread: 1 Guest(s)