Majazi
How to register and join MyElimu CLICK HERE

Post Reply 
 
Thread Rating:
  • 0 Votes - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Majazi
MwlMaeda Offline
Teacher
Teacher

Posts: 41
Likes Given: 1
Likes Received: 3 in 3 posts
Joined: Feb 2017
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 3,446.38 points
Country: Tanzania
Post: #1
Post Icon Majazi

0
0
Majazi ni mbinu ya mhusika kuwa na jina lake rasmi (jina la kuzaliwa) linaloambatana na tabia/mienendo/sifa zake. Aidha, majazi inaweza kuwa mbinu ya sanaa.

Mhusika Bahati katika riwaya; ikiwa maisha yake yatadhihirisha kuwa na bahati nyingi; basi hiyo itakuwa ni mbinu ya Majazi.
Mzee Tumbo Kubwa anapenda kula sana kana kwamba hashibi.
Neema ni msichana mzuri, mpole, mpenda amani
Mganga Kuzimu ni mganda hodari sana anayeongoza ibada za gizani katika kijiji cha Mizukani
06-14-2017 05:53 PM
Visit this user's website Find all posts by this user Like Post Quote this message in a reply
francissmtambo Offline
Regular User
Registered

Posts: 5
Likes Given: 3
Likes Received: 1 in 1 posts
Joined: Jun 2016
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 1.00 points
Post: #2
Post Icon RE: Majazi

0
0
Mwalimu hapa chini sijaelewa (mganga kuzimu ni mganda) Neno mganda Lina maana gani??

Sent from my Phantom6-Plus using MyElimu mobile app

(06-14-2017 05:53 PM)MwlMaeda Wrote:  Majazi ni mbinu ya mhusika kuwa na jina lake rasmi (jina la kuzaliwa) linaloambatana na tabia/mienendo/sifa zake. Aidha, majazi inaweza kuwa mbinu ya sanaa.

Mhusika Bahati katika riwaya; ikiwa maisha yake yatadhihirisha kuwa na bahati nyingi; basi hiyo itakuwa ni mbinu ya Majazi.
Mzee Tumbo Kubwa anapenda kula sana kana kwamba hashibi.
Neema ni msichana mzuri, mpole, mpenda amani
Mganga Kuzimu ni mganga hodari sana anayeongoza ibada za gizani katika kijiji cha Mizukani
Neno mganda Lina maana gani??

(This post was last modified: 06-18-2017 12:52 PM by MwlMaeda.)
06-16-2017 06:31 PM
Find all posts by this user Like Post Quote this message in a reply
MwlMaeda Offline
Teacher
Teacher

Posts: 41
Likes Given: 1
Likes Received: 3 in 3 posts
Joined: Feb 2017
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 3,446.38 points
Country: Tanzania
Post: #3
Post Icon RE: Majazi

0
0
(06-16-2017 06:31 PM)francissmtambo Wrote:  Mwalimu hapa chini sijaelewa (mganga kuzimu ni mganda) Neno mganda Lina maana gani??

Sent from my Phantom6-Plus using MyElimu mobile app

(06-14-2017 05:53 PM)MwlMaeda Wrote:  Majazi ni mbinu ya mhusika kuwa na jina lake rasmi (jina la kuzaliwa) linaloambatana na tabia/mienendo/sifa zake. Aidha, majazi inaweza kuwa mbinu ya sanaa.

Mhusika Bahati katika riwaya; ikiwa maisha yake yatadhihirisha kuwa na bahati nyingi; basi hiyo itakuwa ni mbinu ya Majazi.
Mzee Tumbo Kubwa anapenda kula sana kana kwamba hashibi.
Neema ni msichana mzuri, mpole, mpenda amani
Mganga Kuzimu ni mganga hodari sana anayeongoza ibada za gizani katika kijiji cha Mizukani
Neno mganda Lina maana gani??

Sent from my Phantom6-Plus using MyElimu mobile app

Nimerekebisha neno mganda ni mganga
06-18-2017 12:55 PM
Visit this user's website Find all posts by this user Like Post Quote this message in a reply
Post Reply 
User(s) browsing this thread: 1 Guest(s)