Madoido Katika Fasihi
How to register and join MyElimu CLICK HERE

Post Reply 
 
Thread Rating:
  • 0 Votes - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Madoido Katika Fasihi
MwlMaeda Offline
Teacher
Teacher

Posts: 41
Likes Given: 1
Likes Received: 3 in 3 posts
Joined: Feb 2017
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 3,446.38 points
Country: Tanzania
Post: #1
Madoido Katika Fasihi

0
0
Madoido ni vionjo mbalimbali vinavyopatikana katika kazi za fasihi simulizi. Kwa mfano kuipamba sauti, upigaji wa ala za musiki kama vile ngoma, gitaa, matarumbeta n.k na uchezeshaji wa viungo vyote vya mwili. Hivyo katika fasihi andishi si rahisi kusikia na hata kuona kutokana na uhifadhi wake.

?UMUHIMU WA KILA KIPENGELE CHA MADOIDO KAMA IFUATAVYO;
?Madoido ya sauti umuhimu wake
Fanani huvuta hisia kwa hadhira wakati anapowasilisha kazi yake.
Kuipamba lugha iwe na mvuto.
?Madoido ya upigaji wa ala za muziki umuhimu wake
-Inaburudisha hadhira
-Uvuta hisia ya hadhira kwa mfano milindimo ya vinanda, zumali n.k ?Madoido ya uchezeshaji wa viungo vyote vya mwili umuhimu wake
-Inateka umakini wa hadhira na kuipenda kazi ya fasihi simulizi
- InaburudishaKaribu: http://www.mwalimuwakiswahili.com
06-07-2017 10:57 PM
Visit this user's website Find all posts by this user Like Post Quote this message in a reply
Post Reply 


You may also like these discussions:
Thread: Author Replies: Views: Last Post
Post Icon Fasihi Kwa Ujumla MyElimu 0 190 09-14-2017 01:19 PM
Last Post: MyElimu
  Kunani Katika Maisha Yangu Na Baada Ya Miaka Hamsini MwlMaeda 0 116 06-11-2017 05:54 PM
Last Post: MwlMaeda
Post Icon Nyimbo Katika Fasihi Simulizi MwlMaeda 0 362 06-09-2017 12:23 PM
Last Post: MwlMaeda
Post Icon Udhibiti Wa Kazi Za Fasihi Kwa Ufupi MwlMaeda 0 141 06-08-2017 07:09 PM
Last Post: MwlMaeda
Post Icon Sifa Pambanuzi Za Kifani Za Utendi Andishi Wa Kiswahili Zinavyojitokeza Katika Utenzi MwlMaeda 2 255 06-07-2017 01:38 PM
Last Post: MwlMaeda
Post Icon Matumizi Ya Lugha Katika Miktadha Mbalimbali. Damian 3 883 05-23-2017 02:16 PM
Last Post: kemmyqlyon
Lightbulb Tanzu na Vipera Vya Fasihi Simulizi Given 1 23,272 12-21-2015 11:07 AM
Last Post: SUSAN MACHARIA
Post Icon Fani Na Maudhui Katika Fasihi MyElimu 0 6,356 09-12-2014 02:17 PM
Last Post: MyElimu
Post Icon Siti Binti Saadi - Mtunzi mkongwe wa Fasihi ya Kiswahili Given 0 2,049 02-20-2014 11:40 PM
Last Post: GivenUser(s) browsing this thread: 1 Guest(s)