Madaraja Yaliyotumika Kwenye CSEE 2013

Post Reply 
 
Thread Rating:
  • 1 Votes - 3 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Share Topic: GooglePlus Facebook Twitter
Madaraja Yaliyotumika Kwenye CSEE 2013
MyElimu Offline
System
*******

Posts: 199
Thanks Given: 7
Thanks Received: 91 in 58 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 1

Points: -269.41Points
Country: Tanzania
Post: #1
Not Solved Photo Madaraja Yaliyotumika Kwenye CSEE 2013

0
0
                                               [Image: 1926928_850802851600801_824726232_n.png]
02-25-2014 07:51 PM
Visit this user's website Find all posts by this user Add Thank You Quote this message in a reply
Masozi Offline
Regular User
Registered

Posts: 1
Thanks Given: 0
Thanks Received: 1 in 1 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 0

Points: 0.00Points
Post: #2
Not Solved RE: Madaraja Yaliyotumika Kwenye CSEE 2013

0
0
Madaraja haya yamewezesha wanafunzi wengi kuonekana wamefaulu kwa division nzuri ingawa kama wangepimwa kwa viwango vya zamani wasingepata division walizopata sasa, nadhani katika kusaidia kuboresha elimu si vema kushusha viwango vya ufaulu ili wengi waonekane wamefanya vizuri, bali ni kuhakikisha mazingira ya kujifunzia na kufundishia ikiwemo maslahi ya wlaimu yanaboreshwa. Haya ndiyo maoni yangu.
02-25-2014 11:21 PM
Find all posts by this user Quote this message in a reply
Diphenylamine Offline
Great Thinker
Registered

Posts: 11
Thanks Given: 1
Thanks Received: 4 in 3 posts
Joined: Mar 2014
Reputation: 2

Points: 0.00Points
Post: #3
Not Solved Post Icon RE: Madaraja Yaliyotumika Kwenye CSEE 2013

0
0
(02-25-2014 11:21 PM)Masozi Wrote:  Madaraja haya yamewezesha wanafunzi wengi kuonekana wamefaulu kwa division nzuri ingawa kama wangepimwa kwa viwango vya zamani wasingepata division walizopata sasa

Mkuu hii point hii wengi sana huitumia pasipo kuelewa !
Hizi grade zimewakandamiza sana wanafunzi !

Mfano
Daraja 'C' ata kama zingetumika grade za zamani bado lingekuwa linaanzia points 41
ambayo kwa mwaka jana ilihesabika ikiwa na thamani ya 3, Lakini sasa thaman yake ni 4

B plain (nayo ingebaki kuwa ni ''C'' )
haya ona sasa
aliyepata alama hizi

B, B, B, B, C, C, C kwa mwaka huu ana points 24

lakini zingetumika grade za mwaka jana hizo 'B' zingekuwa 'C' na 'C' zingebaki kuwa 'C' kwahiyo angekuwa na C, C, C, C, C, C, C ambapo angepata points 21


huoni jinsi zilivyo waumiza baadhi ya wanafunzi mkuu ?


Quote: nadhani katika kusaidia kuboresha elimu si vema kushusha viwango vya ufaulu ili wengi waonekane wamefanya vizuri, bali ni kuhakikisha mazingira ya kujifunzia na kufundishia ikiwemo maslahi ya wlaimu yanaboreshwa. Haya ndiyo maoni yangu.

Chozi Lishikalo Moyo!
09-08-2014 07:57 AM
Find all posts by this user Quote this message in a reply
Post Reply 


Possibly Related Threads...
Thread: Author Replies: Views: Last Post
Lightbulb Madaraja Mpya Ya O Level MyElimu 0 1,169 10-16-2014 10:18 AM
Last Post: MyElimuUser(s) browsing this thread: 1 Guest(s)
@MyElimu @MyElimu @MyElimu