06-13-2017, 08:43 AM
0
Kijalizo ni kategoria yoyote ya neno inayotoa taarifa ya ziada kuhusu neno kuu. Kijalizo chaweza kuondolewa pasipokuathiri taarifa ya msingi.
Mf
1. Mtoto *mzuri* amepita *hapa*
Yaliyokolezwa ni vijalizo
Karibu: www.mwalimuwakiswahili.com
Mf
1. Mtoto *mzuri* amepita *hapa*
Yaliyokolezwa ni vijalizo
Karibu: www.mwalimuwakiswahili.com