Jibu Swali Lifuatalo Kwa Hoja Na Mifano Madhubuti
Student of the Month: Meet our May student of the Month - Francis John Likena from Morogoro (Form 2, King'ongo Secondary School)

Post Reply 
 
Thread Rating:
  • 0 Votes - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Share Topic: GooglePlus Facebook Twitter
Jibu Swali Lifuatalo Kwa Hoja Na Mifano Madhubuti
MwlMaeda Offline
Teacher
Teacher

Posts: 39
Thanks Given: 1
Thanks Received: 1 in 1 posts
Joined: Feb 2017
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 3,446.38 points
Country: Tanzania
Post: #1
Jibu Swali Lifuatalo Kwa Hoja Na Mifano Madhubuti

0
0
Kwa kutumia hoja tano onesha jinsi maendeleo ya sayansi na teknolojia yanavyoboresha uhifadhi wa kazi za fasihi simulizi.
06-07-2017 06:20 PM
Visit this user's website Find all posts by this user Add Thank You Quote this message in a reply
Musa Offline
Gold Student
Gold
Accelerators

Posts: 18
Thanks Given: 2
Thanks Received: 2 in 2 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 110.15 points
Post: #2
RE: Jibu Swali Lifuatalo Kwa Hoja Na Mifano Madhubuti

0
0
1. Kwa kutumia mitandao kama huu wa MyElimu tunaweza kujifadhi majadiliano yetu, maswali na majibu kiasi kwamba hata wanafunzi wa miaka ijayo wakaja kupata maswali yako Mwalimu na mawazo yetu wanafunzi. 

2. Kwa kutumia videos tunaweza kurekodi na kuzipata kazi za fasihi muda wotote tunaotaka

3.Fasihi simulizi pia inaweza kupatikana kwa sauti! Mfano podcast za vitabu au audiobooks sasa zipo.

4. Vitabu pia vinaboreka. Sasa hivi unaweza kupata kitabu kwa njia za PDF unasoma vizuri tu kwenye simu yako.

5. Msimuliaji anaweza kutoa maelezo kutoka mbali! Mfano mimi niko Shinyanga, naweza kukupigia simu tukaongea au ukanitumia voicenote whatsapp safi kabisa. 
06-08-2017 12:40 PM
Find all posts by this user Quote this message in a reply
Post Reply 


You may also like these discussions:
Thread: Author Replies: Views: Last Post
  Jibu Maswali Yafuatayo MwlMaeda 0 42 06-21-2017 03:11 PM
Last Post: MwlMaedaUser(s) browsing this thread: 1 Guest(s)