African Leadership Academy: Application Window Now Open!

Post Reply 
 
Thread Rating:
  • 1 Votes - 5 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Share Topic: GooglePlus Facebook Twitter
African Leadership Academy: Application Window Now Open!
MyElimu Offline
System
*******

Posts: 198
Thanks Given: 7
Thanks Received: 90 in 57 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 1

Country: Tanzania
Post: #1
Post Icon African Leadership Academy: Application Window Now Open!

0
0
KISWAHILI:

 African Leadership Academy ni shule maalum ya kutengeneza viongozi wa baadae wa Africa. Academy yake ipo South Africa na kila mwaka huwa inapokea wanafuzi waliomaliza Form 4 na kwenda kufanya A-Level yao kule SA. Ukichaguliwa kwenda, utaweza pia kupata nafasi ya kulipiwa ada yote ya miaka miwili utakayokuwa kule na ukirudi kutoka kule hakika utakuwa wa tofauti katika jamii kwa jinsi uwezo wako wa kufikiri ulivyopanuka.
Na sasa ALA wameanza kupokea maombi kwa ajili ya mwaka 2015! ALA inatafuta vjana wa tofauti, wenye mawazo ya kipekee na wenye kutaka kuleta maendeleo. Wanatafuta vijana wenye miaka kati ya 16-19 wenye uwezo wa kipekee wa kuongoza na kuwa na tija katika jamii kwa kupitia ujasiri, ubunifu na mchango wao katika jamii. 
 
Wanafunzi watakaochaguliwa kujiunga na ALA watapata faida zifuatazo:
 
 Kuishi kwenye boarding yenye hadhi ya kimataifa iliyopo  Honeydew, Johannesburg;
 Watamaliza mtaala wa miaka miwili ambapo watafundishwa Entrepreneurial Leadership & African Studies;
 Mtaala wa unaotambulika dunia nzima wa A-Level;
 Watakutana na wanafunzi wengine wa kipekee kutoka sehemu mbalimbali za Africa na dunia nzima;
 Watapewa muongozo wa kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali;
 Nafasi ya kufanya interniship ('tempo) na nafasi za kazi sehemu mbalimbali za Africa;
 Msaada wa kifedha kwa wanafunzi watakaouhitaji.

ALA ina njia 6 za kuchagua wanafunzi wake:-
 
 Uwezi wa kuongoza   Mapenzi kwa Africa  Utayari kwa kutumika  
 Roho ya ujasiliamali  Uwezo wa darasani Miaka: 16-19

Kama una hata vigezo viwili hapo juu nakushauri ufanye application. Huwezi jua!

Wanaotaka kuapply wanashauriwa kutembelea website yao kwa habari zaidi: www.africanleadershipacademy.org/  
 
Deadline ni 12 December, 2014.

Kama unataka maelezo zaidi andika reply chini
ENGLISH
Admissions application window for 2014-15 is officially open. ALA is looking for the most outstanding young leaders from across Africa to enrol in our 2 year program. We are looking for young people aged 16 to 19 with the potential to lead and make an impact through their courage, initiative and innovation. 
 
Students enrolled at the Academy will have access to the following:
 
 World-class co-educational boarding school in Honeydew, Johannesburg;
 They will complete our core curriculum in Entrepreneurial Leadership & African Studies;
 Internationally recognised A-level curriculum;
 Outstanding students and faculty from across Africa & the world;
 Unparalleled track record in University placements;
 Access to world-class internship and job opportunities on the continent;
 and financial assistance is available for students with financial need.


African Leadership Academy has 6 selection criteria:
 
 Leadership potential   Passion for Africa  Commitment to service  
 Entrepreneurial spirit   Academic achievement  age: 16-19
 

 Applicants are encouraged to visit our website to learn more about our offerings: www.africanleadershipacademy.org/  
 
The deadline for admission is 12 December, 2014.


 

 
(This post was last modified: 10-08-2014 06:23 PM by MyElimu.)
10-08-2014 03:33 PM
Visit this user's website Find all posts by this user Add Thank You Quote this message in a reply
Post Reply 


[-]
Quick Reply
Message
Type your reply to this message here.


Disable AutoMedia embedding for this link.   AutoMedia MP3 Playlist

Image Verification
Please enter the text within the image on the left in to the text box below. This process is used to prevent automated posts.
 

Possibly Related Threads...
Thread: Author Replies: Views: Last Post
Post Icon Majina Ya Wanafunzi Wanaotakiwa Kufanya Second Round Application MyElimu 7 23,312 01-14-2017 04:58 PM
Last Post: Waynenit
Post Icon Yale Young African Scholars For Secondary School Students MyElimu 0 232 11-16-2016 07:12 PM
Last Post: MyElimu
Post Icon East African Essay Writing Competition 2016 Emanuel Christopher Njavike 0 1,457 04-01-2016 10:54 AM
Last Post: Emanuel Christopher Njavike
Post Icon Yale Young African Scholars Program 2016 For Secondary School Students MyElimu 0 706 11-09-2015 10:16 AM
Last Post: MyElimu
Post Icon Kiswahili Prize For African Literature MyElimu 0 1,038 03-03-2015 09:21 PM
Last Post: MyElimu
Post Icon 2015 Yale Young African Scholars Program MyElimu 0 1,402 01-09-2015 06:16 AM
Last Post: MyElimu
Post Icon African Leadership Academy 2015 MyElimu 0 1,239 09-19-2014 12:31 AM
Last Post: MyElimuUser(s) browsing this thread: 1 Guest(s)
@MyElimu @MyElimu @MyElimu