Msaada Tafadhali Kuhusu Lahaja (a - Level )

Post Reply 
 
Thread Rating:
  • 0 Votes - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Share Topic: GooglePlus Facebook Twitter
A-LEVEL:  Msaada Tafadhali Kuhusu Lahaja (a - Level )
Frank Barasoni Offline
Regular User
Registered

Posts: 1
Thanks Given: 0
Thanks Received: 0 in 0 posts
Joined: Aug 2016
Reputation: 0

Points: 2.00Points
Post: #1
Msaada Tafadhali Kuhusu Lahaja (a - Level )

0
0
Naomba kujuzwa kuhusu LAHAJA

Sent from my SM-T231 using MyElimu mobile app
08-13-2016 07:13 PM
Find all posts by this user Add Thank You Quote this message in a reply
MyElimu Offline
System
*******

Posts: 208
Thanks Given: 7
Thanks Received: 93 in 59 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 1

Points: 350.01Points
Country: Tanzania
Post: #2
Post Icon RE: Msaada Tafadhali Kuhusu Lahaja (a - Level )

0
0
Kitu gani kuhusu lahaja?

 
(This post was last modified: 10-01-2016 11:29 PM by MyElimu.)
10-01-2016 11:26 PM
Visit this user's website Find all posts by this user Quote this message in a reply
masha Offline
Regular User
Registered

Posts: 1
Thanks Given: 0
Thanks Received: 0 in 0 posts
Joined: Oct 2016
Reputation: 0

Points: 0.00Points
Post: #3
Msaada Tafadhali Kuhusu Lahaja (a - Level )

0
0
Lahaja ni lugha tofauti tofauti ambazo zinatokana na lugha moja kuu. Watumiaji wa lugha fulani wanapopishana kimsamiati au kimuundo au kimatamshi au vyote kwa pamoja uwezesha utokeaji wa lahaja
Lugha hizo hizo hutokea kutokana na athari mbalimbali kwa watumiaji wa lugha kuu moja ambazo hupelekea lahaja hizo kutokea mfano.umbali; ndani yake tunaweza kuona watu wakipishana hata misamiati kutoka mkoa mmoja na mwingine wilaya moja na nyingine sehemu moja na nyingne. Mf. Katka kabila la wachaga tunaweza kuona wanatofautiana kutokana na umbali nakuweza kuzungumza kichaga kilicho na utofauti mawazo yangu


Sent from my TECNO H6 using MyElimu mobile app
(This post was last modified: 10-20-2016 10:43 AM by masha.)
10-20-2016 10:42 AM
Find all posts by this user Quote this message in a reply
Post Reply 


Possibly Related Threads...
Thread: Author Replies: Views: Last Post
  Msaada Kuhusu Hii Misamiati Mbagala 2 3,062 06-28-2016 10:14 AM
Last Post: Kessy Khali El Magnefico
  Naombeni Msaada Alex Hamis 0 570 03-06-2016 08:32 PM
Last Post: Alex Hamis
Post Icon Vitabu vya Ziada A Level Puppeteer 0 1,712 02-19-2014 12:06 AM
Last Post: PuppeteerUser(s) browsing this thread: 1 Guest(s)
@MyElimu @MyElimu @MyElimu