0
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limekanusha kwamba mafunzo yamesitishwa na kutangaza rasmi kwamba mafunzo yapo kama kawaida. Tamko hilo lililotolewa leo limesema kwamba wanafunzi wahitimu wa kidato cha 6 2015 wataingia kambini mwezi wa 6 mwaka huu na majina ya wanafunzi na makambi yao yatatolewa pindi watakapomaliza maongezi na baraza la mitihani (NECTA).
Unaweza kudownload tamko zima hapa:
TAMKO JKT