06-14-2017, 05:53 PM
0
Majazi ni mbinu ya mhusika kuwa na jina lake rasmi (jina la kuzaliwa) linaloambatana na tabia/mienendo/sifa zake. Aidha, majazi inaweza kuwa mbinu ya sanaa.
Mhusika Bahati katika riwaya; ikiwa maisha yake yatadhihirisha kuwa na bahati nyingi; basi hiyo itakuwa ni mbinu ya Majazi.
Mzee Tumbo Kubwa anapenda kula sana kana kwamba hashibi.
Neema ni msichana mzuri, mpole, mpenda amani
Mganga Kuzimu ni mganda hodari sana anayeongoza ibada za gizani katika kijiji cha Mizukani