03-06-2016, 08:32 PM
0
Eleza matatizo yanayo sababishwa na waandishi wa habari katika kukua na kuenea kwa kiswahili.
Naombeni Msaada
|
03-06-2016, 08:32 PM
0 Eleza matatizo yanayo sababishwa na waandishi wa habari katika kukua na kuenea kwa kiswahili.
06-07-2017, 11:00 PM
0 1. Kuingiza maneno kiholela katika lugha
2. Kushabikia na kueneza maneno yasiyo sanifu 3. Kupotosha sarufi (muundo) ya lugha 4. Kupotosha maana za maneno ya lugha Karibu: www.mwalimuwakiswahili.com |
Users browsing this thread: |
1 Guest(s) |