07-09-2017, 08:49 AM
0
Kwenye hospitali ya wagonjwa wa akili, mwandishi wa habari akamwuliza daktari:
"Wewe huwa unatambuaje mgonjwa huyu ni wa kulazwa, na huyu si wa kulazwa "?
Daktari akajibu:
"Kuna njia nyingi ... kwa mfano naweza kujaza maji kwenye sinki la bafuni, nikamwekea hapo kijiko cha mezani, kikombe na ndoo;
Kisha nikamwagiza amwage maji yote yaliyo kwenye sinki.
Mwandishi: "Bila shaka aliye timamu atatumia ndoo .. . Maana ndoo ndiyo kubwa! Si ndivyo? "
Daktari: "Hapana! Mtu mwenye akili timamu atafungulia koki ya chini ya sinki!
Tafadhali na wewe nenda kalale kitanda Namba-39 .. . Nitakuja kuendelea kukuchunguza zaidi! "
........................................
Kama na wewe pia uliwaza ndoo,kitanda chako ni Namba-40 !!
Karibu: www.mwalimuwakiswahili.com