How to register and join MyElimu CLICK HERE

User(s) browsing this room: 2 Guest(s)
Post Discussion
KISWAHILI
Discussion / Author Replies Views Rating Last Post [asc]
Room Announcements
  How to register and join MyElimu - - 01-27-2017 02:23 PM
  JINSI YA KUTUMIA MyElimu - - 01-24-2014 10:24 AM
Normal Threads
New posts.  
pkigobe95 - (08-01-2017 at 10:59 PM)
Jibu:
Neno mkatambike lina mofimu tegemezi ngapi...
MwlMaeda - (08-06-2017 at 08:34 AM)
Jibu:
M-ka-tambik-e

Ni ngapi hizo?

Karibu: http://www.mwalimuwakiswahili.com...
2 137
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
08-06-2017 08:34 AM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion.   0 191
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
07-27-2017 06:02 AM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion. Post Icon
MyElimu - (03-23-2015 at 09:27 AM)
Maswali Ya Kiswahili 1 Form 5:
MAELEKEZO:
[list=1]
[*]Karatasi hii ina sehemu A, B, C, D
[*]Jibu maswali saba 7 kwa kuchagua swali (1) kutoka kila sehemu isipokuwa B jibu ...
utouh - (07-20-2017 at 08:34 PM)
Maswali Ya Kiswahili 1 Form 5:
Naomba majibu swali la 9

Sent from my TECNO H6 using MyElimu mobile app...
1 7,843
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
07-20-2017 08:34 PM
Last Post: utouh
New posts. Hot discussion.  
MwlMaeda - (07-14-2017 at 06:37 AM)
Misemo,nahau Na Methali Za Kiswahili:
Misemo ni kauli fupifupi ambazo hutumiwa na jamii kusisitiza ukweli wa jambo fulani. Kauli hizi huunganisha mawazo au dhana tofauti kuwa mwili mmoja n...
utouh - (07-20-2017 at 08:24 PM)
Misemo,nahau Na Methali Za Kiswahili:
Good!

Sent from my TECNO H6 using MyElimu mobile app...
1 573
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
07-20-2017 08:24 PM
Last Post: utouh
New posts. Hot discussion.  
MwlMaeda - (07-16-2017 at 02:57 PM)
Shairi: Nani Katia Shubiri?:
KUTOKA KATIKA KITABU CHA KUMBUKIZI

MTUNZI: MBARUKU ALLY
SHAIRI: NANI KATIA SHUBIRI?

Mwanzo ilikuwa tamu, tena isiyo dosari
Utamu ungalidumu, ila mej...
MwlMaeda - (07-16-2017 at 02:57 PM)
Shairi: Nani Katia Shubiri?:
KUTOKA KATIKA KITABU CHA KUMBUKIZI

MTUNZI: MBARUKU ALLY
SHAIRI: NANI KATIA SHUBIRI?

Mwanzo ilikuwa tamu, tena isiyo dosari
Utamu ungalidumu, ila mej...
0 191
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
07-16-2017 02:57 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion.  
MwlMaeda - (07-14-2017 at 06:42 AM)
Utungaji/uandishi:
UTUNGAJI/UANDISHI
Utungaji ni neno linalotokana na kitenzi “tunga”. Kitenzi hiki kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu (2004:414) linamaanisha...
MwlMaeda - (07-14-2017 at 06:42 AM)
Utungaji/uandishi:
UTUNGAJI/UANDISHI
Utungaji ni neno linalotokana na kitenzi “tunga”. Kitenzi hiki kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu (2004:414) linamaanisha...
0 1,294
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
07-14-2017 06:42 AM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion.  
MwlMaeda - (07-09-2017 at 08:49 AM)
Mfano Wa Kichekesho:
Kwenye hospitali ya wagonjwa wa akili, mwandishi wa habari akamwuliza daktari:
"Wewe huwa unatambuaje mgonjwa huyu ni wa kulazwa, na huyu si wa kulazw...
MwlMaeda - (07-09-2017 at 08:49 AM)
Mfano Wa Kichekesho:
Kwenye hospitali ya wagonjwa wa akili, mwandishi wa habari akamwuliza daktari:
"Wewe huwa unatambuaje mgonjwa huyu ni wa kulazwa, na huyu si wa kulazw...
0 291
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
07-09-2017 08:49 AM
Last Post: MwlMaeda
New posts.  
MwlMaeda - (07-08-2017 at 11:27 AM)
Mfano Wa Kichekesho:
*Darasani*

*MWALIMU* angaiko mbona Leo unawaza sana darasani? [RELIEVED FACE][RELIEVED FACE]

*angaiko* kwasababu baba yupo polisi na mama yupo hospi...
MwlMaeda - (07-08-2017 at 11:27 AM)
Mfano Wa Kichekesho:
*Darasani*

*MWALIMU* angaiko mbona Leo unawaza sana darasani? [RELIEVED FACE][RELIEVED FACE]

*angaiko* kwasababu baba yupo polisi na mama yupo hospi...
0 124
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
07-08-2017 11:27 AM
Last Post: MwlMaeda
New posts.  
MwlMaeda - (06-27-2017 at 08:46 AM)
Mmkaidi Na Siku Ya Eid:
MKAIDI NA SIKU YA EID

Kuitika imebidi, ndo sifa ya muungwana,
Hoja yako sina budi, kuijibu kwa upana,
Kuhusu siku ya eid, nae mkaidi mwana,
Hata mwan...
Damian - (06-27-2017 at 11:23 AM)
Mmkaidi Na Siku Ya Eid:
Hongera ticha..تصویر: images/smilies/biggrin.gif...
1 133
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-27-2017 11:23 AM
Last Post: Damian
New posts. Hot discussion.  
MwlMaeda - (06-21-2017 at 03:11 PM)
Jibu Maswali Yafuatayo:
Swali:
Bainisha dhima za kisarufi za kipashio "ji" katika sentensi hizi
1. Haifai kukaa penye vumbi jingi
2. Alijisikia amechoka.
3.Uchafuaji wa mazi...
MwlMaeda - (06-21-2017 at 03:11 PM)
Jibu Maswali Yafuatayo:
Swali:
Bainisha dhima za kisarufi za kipashio "ji" katika sentensi hizi
1. Haifai kukaa penye vumbi jingi
2. Alijisikia amechoka.
3.Uchafuaji wa mazi...
0 203
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-21-2017 03:11 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion.  
MwlMaeda - (06-18-2017 at 12:59 PM)
Utumizi Wa Lugha:
UTUMIZI WA LUGHA
Dhanna ya utumizi wa lugha na mambo ya kuzingatia
Matumizi ya lugha ni namna ambavyo wazungumzaji wa lugha hutumia lugha k...
MwlMaeda - (06-20-2017 at 12:58 PM)
Utumizi Wa Lugha:
Mofimu ni moja wapo ya vipashio vya lugha. Vipashio vingine ni neno, kirai,kishazi na sentensi.

Isimu ni sayansi ya lugha...
2 569
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-20-2017 12:58 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion. Post Icon
MwlMaeda - (06-14-2017 at 05:53 PM)
Majazi:
Majazi ni mbinu ya mhusika kuwa na jina lake rasmi (jina la kuzaliwa) linaloambatana na tabia/mienendo/sifa zake. Aidha, majazi inaweza kuwa mbinu ya ...
MwlMaeda - (06-18-2017 at 12:55 PM)
Majazi:
[quote=francissmtambo;1573]
Mwalimu hapa chini sijaelewa (mganga kuzimu ni mganda) Neno mganda Lina maana gani??

Sent from my Phantom6-Plus using...
2 267
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-18-2017 12:55 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion.  
MwlMaeda - (06-14-2017 at 10:40 AM)
Sifa Za Mlumbi:
Ulumbi ni uwezo wa kipekee wa kuzungumza mbele ya hadhira. Mtu mwenye uwezo huo wa kipekee wa kuzungumza jukwaani huitwa mlumbi. Walumbi husifika sana...
MwlMaeda - (06-14-2017 at 10:40 AM)
Sifa Za Mlumbi:
Ulumbi ni uwezo wa kipekee wa kuzungumza mbele ya hadhira. Mtu mwenye uwezo huo wa kipekee wa kuzungumza jukwaani huitwa mlumbi. Walumbi husifika sana...
0 436
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-14-2017 10:40 AM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion.  
MwlMaeda - (06-13-2017 at 08:43 AM)
Maana Ya Kijalizo:
Kijalizo ni kategoria yoyote ya neno inayotoa taarifa ya ziada kuhusu neno kuu. Kijalizo chaweza kuondolewa pasipokuathiri taarifa ya msingi.

Mf
1. ...
MwlMaeda - (06-13-2017 at 08:43 AM)
Maana Ya Kijalizo:
Kijalizo ni kategoria yoyote ya neno inayotoa taarifa ya ziada kuhusu neno kuu. Kijalizo chaweza kuondolewa pasipokuathiri taarifa ya msingi.

Mf
1. ...
0 431
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-13-2017 08:43 AM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion.   0 209
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-12-2017 11:01 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts.   0 138
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-12-2017 10:58 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts.  
MwlMaeda - (06-11-2017 at 05:54 PM)
Kunani Katika Maisha Yangu Na Baada Ya Miaka Hamsini:
KATIKA kitabu chake cha tawasifu "MAISHA YANGU NA BAADA YA MIAKA HAMSINI" Shaaban Robert anasimulia dhiki, adha na udhalili alioupitia, pengine kwa sa...
MwlMaeda - (06-11-2017 at 05:54 PM)
Kunani Katika Maisha Yangu Na Baada Ya Miaka Hamsini:
KATIKA kitabu chake cha tawasifu "MAISHA YANGU NA BAADA YA MIAKA HAMSINI" Shaaban Robert anasimulia dhiki, adha na udhalili alioupitia, pengine kwa sa...
0 116
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-11-2017 05:54 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion. Post Icon
MwlMaeda - (06-10-2017 at 12:33 PM)
Kisa: Kuku Kitoweo Murua Kwa Walaji!!!:
KUKU KITOWEO MURUA KWA WALAJI!!!

Ukipita sokoni ukawakuta kuku wakiwa kwenye *tenga* jaribu kuwatizama mara mbili mbili kisha jiulize maswali kibao...
MwlMaeda - (06-10-2017 at 12:33 PM)
Kisa: Kuku Kitoweo Murua Kwa Walaji!!!:
KUKU KITOWEO MURUA KWA WALAJI!!!

Ukipita sokoni ukawakuta kuku wakiwa kwenye *tenga* jaribu kuwatizama mara mbili mbili kisha jiulize maswali kibao...
0 280
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-10-2017 12:33 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Post Icon
MwlMaeda - (06-10-2017 at 12:19 PM)
Dunia Uwanja Wa Fujo:
Dunia uwanja wa fujo ni riwaya iliyoandikwa na Euphrase Kezilahabi mwaka wa 1975. Ni riwaya ambayo inasawiri maisha ya wanadamu hususani waishio Afrik...
MwlMaeda - (06-10-2017 at 12:19 PM)
Dunia Uwanja Wa Fujo:
Dunia uwanja wa fujo ni riwaya iliyoandikwa na Euphrase Kezilahabi mwaka wa 1975. Ni riwaya ambayo inasawiri maisha ya wanadamu hususani waishio Afrik...
0 117
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-10-2017 12:19 PM
Last Post: MwlMaeda
New posts. Hot discussion. Post Icon
MwlMaeda - (06-09-2017 at 12:52 PM)
Nadharia Ya Ufeministi ( Mtazamo Wa Kike):
NADHARIA YA UFEMINISTI ( Mtazamo wa kike)

(Williady, 2015) Nadharia hii inahistoria ndefu duniani, ikimaanisha ni moja ya nadharia zilizopata kutok...
Boniface Mkuya - (06-09-2017 at 04:09 PM)
Nadharia Ya Ufeministi ( Mtazamo Wa Kike):
Ni nadra sana kukuta sehemu kuna bandiko ya ufeministi kwa lugha ya Kiswahili. Safi Mwalimu!...
1 476
 • 0 Vote(s) - 0 out of 5 in Average
06-09-2017 04:09 PM
Last Post: Boniface Mkuya
Post Discussion


New Posts New Posts
Hot Discussions (New) Hot Discussions (New)
Hot Thread (No New) Hot Thread (No New)
No New Posts No New Posts
Contains Posts by You Contains Posts by You
Locked Thread Locked Thread

Search this Forum: